Baba .. Unapoamua kukagua simu za mabinti zako!!!

Baba .. Unapoamua kukagua simu za mabinti zako!!!

hahaa eti UKAGUZI WA GHAFLA! Utafkiri shuleni hapo? HIYO NI NEO-COLONIALISM
 
Ukaguzi wa namna hiyo unaonesha kuwa huyo baba ana matatizo katika uwezo wake wa kufikiri...

Kama watu wanataka kufanya kitu cha namna hiyo, mama ndiye mtu sahihi wa kukagua simu za binti zake....tena kwa usiri mkubwa kama CIA...

Hata hivyo haina msaada sana. Jambo la msingi ni kuweka mkataba mzuri wa jinsi ya kuishi katika familia....

Kwani hata watu wazima wanatunza sms zenye utata??

Labda huyo dingi atumie mitandao ya simu kufanya coverage ya binti zake...ingawa pia wanaweza kuwa namba zao za siri...

Heri yetu tuliozaliwa na kukua zenzi za BBC...(Born before Computers)!

Babu DC!!
 
Bibi hayuko...hadi mda huu uko kuperuzi hum ndani

tuachie wajukuu zako..mpeti mpeti bibi hapo
 
Acha banaaaaa....Mtu anatengeneza shape ya mtu kitandani kwa kutumia nguo amelala kajifunika shuka kumbe kishasepa zamani yuko club anajirusha kwa raha zake LOL!!!!

We ulikuwa huruki ukuta?au kunyata?
 
Ana lengo zuri la kuhakikisha watoto wake hawatumii uhuru wa simu vibaya hata mimi walikuwa wanachunguza simu nilipokuwa 18's ikanibidi majina ya kiume nisave kwa majina ya kike iki wasistukie.

..... Uhuru wa mtu unabakia pale pale .. bibadamu anaweza kujifanya mwema machoni pa Watu lakini akiwa sehemu ambayo hafahamiki anakuwa free... mtoto ukikagua simu yake unampa ujanja zaidi wa kuwa anazifuta kabla hajafika nyumbani....
 
Kwa binti wa miaka 18+
Ukiamua kukagua simu yake
ni sawa na kujipa maradhi ya moyo.

............ Binti yangu wa a level alivunjiwa simu
na kaka zake kisa walimkuta chocho akitalk na kijana mmoja.

......... was very painful kwangu.
 
..... Uhuru wa mtu unabakia pale pale .. bibadamu anaweza kujifanya mwema machoni pa Watu lakini akiwa sehemu ambayo hafahamiki anakuwa free... mtoto ukikagua simu yake unampa ujanja zaidi wa kuwa anazifuta kabla hajafika nyumbani....
hiyo ni kweli mfano mimi simu walikuwa wamenipa lakin siku wakishinda home wanakaa nayo basi ikipigwa wanaona jina la kike wananita nipokee kumbe ni mvulana ndio anapiga so kukakugua haisaidii 100%
 
ni ujinga kukagua ila kuna baadh ya mitoto unaisaidi a kwa kias flan ukifantya hivyo
 
Kama mtu anataka aage dunia kabla hajaandika wosia basi apendane na simu yangu na kuanza kuikagua...tupeane uhuru jaman
 
Ana lengo zuri la kuhakikisha watoto wake hawatumii uhuru wa simu vibaya hata mimi walikuwa wanachunguza simu nilipokuwa 18's ikanibidi majina ya kiume nisave kwa majina ya kike iki wasistukie.

he! inamaana ulinisave kwa jina la kike!!!
nikikushika utajuta.....!
 
unajua huo ndo ulikuwa utaratibu unaofaa tena hata mimi nitautumia!
unapomkagua mwanao wa kike anajenga in her mind kuwa baba hapendi anajaribu kujificha na anakuwa makini sana na mienendo yake!!!
unapomweleza ukweli harafu ukamwacha aisee utatoa macho!!!
 
Mabinti ukiwachunga haimaanishi ndio unawampa malezi bora ila ni muhimu vilevile kuwe na mipaka.Ikumbukwe lazima atatafuta upenyo tu wakufanya yale anayoyataka ni jambo la muhimu sana kuwaamini watoto haswa kuanzia miaka 18 ni watu wazima hivyo anavyowalea ni kikoloni..Ndio wanaadamu tulivyo tunapowekewa vizuizi tunatafuta tactic za kuovercome hizo circumstances...Hata mimi nilikuwa nikichungwa sana lakini i always had my ways lol :smile-big::smile-big::smile-big:kwahio kitendo cha huyo baba kukagua simu ni useless kusema kweli kwa mtazamo wangu mimi!!

cmu zimehifadhi siri nyingi sana! Unataka kunambia kuchunguza cmu za wanao n ukoloni? Na mwanao umlee kwa mipaka je huko kwenye mipaka ambako pengine ndo kuna matatizo utamuachia jilani yako? Jaribu kufikili upya!
 
wanauwezo wa kufuta kila information unajua....txt msg ikiingia tu deleted,ikitumwa deleted sasa huo uchunguzi wako wa manufaa gani?
 
Back
Top Bottom