Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Oct 21, 2013 #42 Mie sikagui simu tu, naweza kagua hata nanihii zao.
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,298 Oct 21, 2013 #43 Mamndenyi said: Kwa binti wa miaka 18+ Ukiamua kukagua simu yake ni sawa na kujipa maradhi ya moyo. ............ Binti yangu wa a level alivunjiwa simu na kaka zake kisa walimkuta chocho akitalk na kijana mmoja. ......... was very painful kwangu. Click to expand... kumbe makaka wengi wanatabia hizo.Afu hawajui tu wanavyowaumiza wamama kwa tabia zao hizo
Mamndenyi said: Kwa binti wa miaka 18+ Ukiamua kukagua simu yake ni sawa na kujipa maradhi ya moyo. ............ Binti yangu wa a level alivunjiwa simu na kaka zake kisa walimkuta chocho akitalk na kijana mmoja. ......... was very painful kwangu. Click to expand... kumbe makaka wengi wanatabia hizo.Afu hawajui tu wanavyowaumiza wamama kwa tabia zao hizo