Baba umekuja! Leo Robert atalala wapi?

Baba umekuja! Leo Robert atalala wapi?

tell me......... mtoto hajui jina la baba yake, atajuaje jina la hawara ya mama yake???? huyo mwanamke atakuwa hana akili kiasi gani cha kumtambulisha mwanae wa miaka mitatu kuwa "huyu anaitwa Robert???" Ukikua UTAJUA HII NI HADITHI..... There is no way mama kalala na buzi kwenye kitanda cha mmewe afu akamtambulisha mwanaye kuwa analala na "Robert". Labda na yeye awe kiazi..... sijasema kama wewe kwakuwa wewe bado unajifunza...... hapa mjukuu wangu Heaven on Earth, najua utakuwa umenielewa..... Ramadan Kareem....:A S wink:

nisipokuelewa nitamuelewa nani babu.........

njoo wozap chap chap sana
 
We dogo uwe na heshima. Mjukuu wangu ana miaka 21 sasa. Sijauliza kuongea hapa we kijana, nimeuliza alijuaje jina 'robert"??? kuna uwezekano wowote mama wa huyu mtoto alimtambulisha binti yake kuwa huyu nayelala naye anaitwa Robert??? Ukishakuwa mkubwa utakuja kujua kuwa mwizi huwa hatambulishi anapoiba. Uwe na nidhamu siku nyingine na umkanye mwanao kwa ukosefu wa nidhamu. Kiafrika mtoto wa miaka mitatu hawezi kumwita mtu wa umri wa mama yake kwa jina lake halisi..... labda kama ni msukule. Nimemaliza


Mwalimu snowhite, naomba msamaha.

Hujambo babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom