Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 60
Baba umekuja! Leo Robert atalala wapi?
Nimetoka kumpokea rafiki yangu bwana mtumishi wa kampuni kubwa ya madini hapa nchini..alikuwa safarini nchini Canada kikazi muda wa siku 34! tumefika nyumbani kwake tumebeba mizigo na zawadi kedekede kwa mkewe ambaye ni mwalimu wa s/msingi hapa jijini! kufika nyumbani mtoto wa kike wa jamaa huyu kafurahi kumuona baba yake lakini baada ya salaam mtoto huyu wa miaka3 akamuuliza baba yake! Baba umekuja! Robert atalala wapi? Kusikia hivyo mke wake jamaa kaduwaa ilhali mume wake akiwa hajui cha kufanya! mwana Jf umekuja! Robert atalala wapi?