BABA punguza kulalamika sana baba! Watoto hawa walilelewa na nyumba unayoishi baba.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Baba yetu ungepunguza kulalamika baba kila unaposimama kuongea na wanao, kila unapozungumza ni kulalamika sana na kuwalaumu wanao waliokwisha iharibu nyumba yetu. Lakini ndani ya familia hii sote tumekulia humu humu, hakuna ambaye hakuwepo kundini.

Kuongea na wanao na kuwatisha kwa ukali na kulalamika baba hakutaweza kutujenga katika familia ispokua kutawafanya hata watangulizi wako kuonekana hawajawahi kufanya kitu, hawatafurahia kabisa hata kama wako nawe bega kwa bega.

Kikubwa kulalamika huku kuendane sambamba na kukamilika kwa mahitaji yote ndani ya familia hii, hutoeleweka endapo unawalalamikia sana watangulizi wako halafu ushindwa kufikua hata nusu ya waliyowahi kutenda wao.

Hii nyumba ni yetu sote usilalamike sana baba tunakuomba upunguze pamoja na ukali wa maneno,sisi sote tu wanafamilia moja tunajenga familia moja. Usiwasimange sana wengine sio wa kuja, nao wana roho na damu baba.
 
Nmekuelewa mwanangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba anataka Hawa wengine wapotezwe abaki na wale majizi tu.
 
Back
Top Bottom