Baba Ntilie Obama

Baba Ntilie Obama

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
14055124_919669988144315_3667219407212013113_n.jpg

Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kumtembelea mwanawe Sasha Obama eneo analofanya kazi,na kumsaidia kwenye majukumu yake.
Sasha amekuwa akihudumu kwenye mgahawa mmoja wa kuuza samaki huko Amerika

=============
Clarification

President Obama with daughter Sasha at a community service project at the D.C Central Kitchen in celebration of the Martin Luther King, Jr. Day of Service and in honour of Dr. King's life and legacy.
 
Hapa sisemi neno kwa kuwa kafanya Obama subiri watakavyomsifia
 
Jamaa wako makini sana, yaani anakupakulia huku kavaa gloves. Sisi huku Kwa Mtogole mama ntilie anakupakulia samaki kwa mkono tu na siku ya pili ukiumwa tumbo matibabu juu yako.
 
Jamaa wako makini sana, yaani anakupakulia huku kavaa gloves. Sisi huku Kwa Mtogole mama ntilie anakupakulia samaki kwa mkono tu na siku ya pili ukiumwa tumbo matibabu juu yako.
Tatizo ule mkono wa kwa Mtogele una mengi, licha ya usafi pia kuna sayansi ya zongo mle mle.
 
Sijui trump na mwanae watafanya nini...
 
Kwa hiyo ndio kasheajiriwa rasmi hapo?

Au anajiandaa na mazingira ya nje ya ikulu
 
Hapa sisemi neno kwa kuwa kafanya Obama subiri watakavyomsifia
Sio Kumsifia kwa kuwa Obama kinachotakiwa ni kupata fundisho. Kwani unaona huyo binti anamudu kabisa hiyo kazi. Sio sisi huku mtu akipata kidogo mtoto hamna kugusa kazi. Be positive chukua somo hapo!
 
14055124_919669988144315_3667219407212013113_n.jpg

Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kumtembelea mwanawe Sasha Obama eneo analofanya kazi,na kumsaidia kwenye majukumu yake.
Sasha amekuwa akihudumu kwenye mkahawa mmoja wa kuuza samaki huko Amerika
Feki feki...!kwa ajili ya kiki
 
Wanajenga watoto wao kuheshimu na kuthamini kazi na kupata uzoefu wa maisha.
 
Huyu ndio yule vyombo vya habari viliripoti kuwa alikutwa anavuta ile kitu ya meru?
 
Hii familia imekaa kimauzo sana, kwny mambo ya kifamilia naifananisha na Ya Jk huku George Bush ukauzu wake naifananisha na Mumewe Janeth John Pombe!
 
Asingekuwa raisi angeenda kumsaidia mwanawe kazi kibaruani kwake?
 
14055124_919669988144315_3667219407212013113_n.jpg

Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kumtembelea mwanawe Sasha Obama eneo analofanya kazi,na kumsaidia kwenye majukumu yake.
Sasha amekuwa akihudumu kwenye mgahawa mmoja wa kuuza samaki huko Amerika
Sina hakika kwa Afrika baba akiwa Rais kama watoto watafanya kazi kama hizi
 
Back
Top Bottom