Prove it mkuu kuwa ni fake, otherwise i smell sour grapes here!Feki feki...!kwa ajili ya kiki
[emoji87] [emoji87] [emoji87] kwamba Obama akauze mgahawa sio feki feki? Au mwanae sio feki feki ? Atafanya kama hobby na si ajira kwa maana halisi ya uhitaji wa ajira kama mimi au weweProve it mkuu kuwa ni fake, otherwise i smell sour grapes here!
baba mkwe huyoooo!![]()
Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kumtembelea mwanawe Sasha Obama eneo analofanya kazi,na kumsaidia kwenye majukumu yake.
Sasha amekuwa akihudumu kwenye mgahawa mmoja wa kuuza samaki