Acha tu mi niwe chizi. MAANA SIMPENDI BABA YANGUAlinichukia kwa dhati kabisa tena bila hiyana, aliapa hatakaa apokee msaada wangu hata kama ndio tone la mwisho la misaada. Yaani aliapa kwa kila njia. LAKINI huwezi amini. Alinifia mikononi, alikaa kwangu 17 yrs. Tena nikampenda kupita.
Ndiyo kishatangulia mbele ya haki lakini nasema; BABA NAKUPENDA. Sioni cha kinitenga na mzazi wangu kwani, nadhani kuna siku aliwahigi kunipa zawadi yoyote hata kama ilikuwa haki yangu.
Ni chizi tu ambaye hampendi BABAKE.
Nakuomba usilipize ubaya kwa ubaya,Hata kwenye vitabu vitakatifu maandiko yanasema tunatakiwa kusamehe kama unaamini ni baba yako hiyo kauli haina afya machoni pa Bwana,Katika zile amri kumi za Mungu mojawapo inasema Waheshim baba na mama ili upate kuishi milele.Na alishakuja kuniomba msamaha kwa kunikataa anadai alikua anaogopa kuchekwa na wenzie kwa kuzaa na mama kisa mama alikua fukara sana kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ulikuwa enzi za ujana wake kumbuka alikimbia kesi na alikuwa hajajiaandaa hakuna kitu kigumu kwa kijana girl friend wake kuambiwa ni mjamzito lazima utatikisika tu hata kama ulimpenda vipiNdio alichosema na alipata watoto wengine kwa mwanamke alieishi nae lakini wamekufa wote nimebaki mimi tu na ndio alipokuja kuniomba msamaha
Nikamuuliza kosa langu au alilokosa mama kwake akadai hajawahi kumkosea kwani alipompa mimba tu alikataa na kukimbia kijijini hapo hivyo hawezi ongopa na nakumbuka tumeishi kwa shida sana sana na nilikua natembea kwa miguu siku nzima kwenda mjini kuomba msaada kwake ila alinifukuza kama mara nne hivyo nikachoka
Baada ya kufiwa na watoto na mke wake akabaki mwenyewe na alipata matatizo ya kutokuona vizuri ndio akaanz kunitafuta na kuja kumuangukia mama na mm
Ila nikikumbuka naumia sana niishie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hana baba hapo Malafyale,zee linashindwa hata kujitetea!zee limekosa hekima na busara! Mkazie mkuu aende akachukue msaada kwa rafiki zake.Duh, samahani kwa kuuliza, baba yako alisema hivyo kweli?
Yaani alikosa kabisa sababu nyingine ya kujitetea?
Kinyume cha kutokupenda kitu ni kukichukia.Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye matatizo km yako hata kauli zenu huwa zinafanana utadhani huwa mnaambizana. Pole sana mkuu. Lkn me nataka nikuambie na kukupa ushauri ambao si lazima uuchukue. Pamoja na kwamba sijapata maelezo ya upande wa Baba yako lkn ukweli hicho unachosema kuhusu weakness za Baba yako ni 15%tu.
Hizo sababu zingine unazotoa unatuonyesha tu kwa hisia kuwa Baba yako alikuwa mbaya sana..na kwa bahati mbaya sana mpaka leo unaamini hivyo na unaposema jambo hilo kwa watu na wakakuonea huruma ww ndo unapata nafuu.
Hasira zako zote zinatokana na sumu aliyokulisha mama yako ambaye ndo alikulea na kwa sababu mlikuwa na shida sana wakati huo,ile sumu iliyokuwa inapandwa na mama yako ilikuwa rahisi tu kukuingia na kusema kweli imekuumiza mno!
Me nakuhakikishia mama yako pamoja na kukulea,lkn ndo alikuwa mbaya sana aliyesababisha hadi Baba yako awatelekeze. Me nakushauri ufanye jambo moja kubwa sana,msamehe Baba yako na muoneshe upendo utakuja kusikia vitu ambavyo hukutarajia kuhusu mama yako. Wanaume huwa ni wastaarabu sana huwa wanajizuia mambo mengi sana kuyasema kwa watoto wao.
Usiangalie sana mafanikio uliyoyapata,hayo mafanikio yamepatikana kutokana na hilo tukio. Pengine ungekuwa unapata kila kitu kwa Baba na mama ungebweteka na usingefika hapo ulipo leo. Hayo mapungufu ya wazazi wako ndo yaliyokujenga na kukupa hasira ya kupambana. Natamani kuandika sana,lkn Acha niishie hapa. Lkn unahitaji ushauri mkuu,hicho kitu kitakutesa maisha yako yote. Na kimsingi ww ndo unaumia kuliko hata Baba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bujibuji umerudisha avatar yako afadhari. Ile ilikuwa inatisha unless waliku hackPole mzee, msamehe tu

Sasa km Baba yako amekutelekeza na hajakulea utajifunza vp kwa kumuona!?? Nnachokueleza mm,ndo ukweli wenyewe. Hasira zenu ni matokeo ya chuki iliyopandwa kwenu.Huwa mnahisi tunalishwa sumu!???
Binafsi sijawahi kujadili chochote na mama kumuhusu baba
Ila mpaka kesho sina namna mtu anaweza kunishawishi kuhusu kumpenda baba.
Note: watoto huwa wanajifunza kupitia wanayoyaona kuliko wanayoyasikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa km Baba yako amekutelekeza na hajakulea utajifunza vp kwa kumuona!?? Nnachokueleza mm,ndo ukweli wenyewe. Hasira zenu ni matokeo ya chuki iliyopandwa kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Neantwa Ngamangyi! Lakana ne itondo lo, liishi kyindo likerera nndi!Soma vizuri ukichoandika unaandika kwa hisia unashindwa kuhusianisha sentensi zako.
Sasa hizo chuki zinapandwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilichoandika ndicho nilichokusudia hakuna nilipokosea. Hizo chuki unalishwa na walezi wako. Iwe mama,mjomba nk. Athari za wazazi kutengana watoto huwa wanabaki upande mmoja.Soma vizuri ukichoandika unaandika kwa hisia unashindwa kuhusianisha sentensi zako.
Sasa hizo chuki zinapandwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app