Baba Na Wana....!!!!

sisi ndio maana tunakuwa mafisadi maana familia ya watoto 15 - 20 ukiwaza na kustaafu unaamua uwekezaji haramu. Kama ni wawili hivi unakuwa na uhakika kuwa pension itaweza kuwasaidia.
 
So nice kwa mimi na wanangu 8 sijui pozi gani nitaweka kwenye kochi.
 
Nzuri sana ...kama mimi na familia yangu 😉
 
utaona jk anaiga,sijui atapiga na yupi maana wako kibao wa nje ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…