donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
kweli mkuu, yapendeza sana!Safi sana , Inapendeza
sijui kama yupo raisi mwingine wa hivi
labda kikwenga mkuu!sijui kama yupo raisi mwingine wa hivi
Maisha mazuri ipende familia yako kama unavyojipenda, usiangalie hadhi yako kama ni Raisi au tajiri au mwenye kipato cha chini, familia ipe kipao mbele kwa uwezo wako wotesijui kama yupo raisi mwingine wa hivi
JK na watoto wake 17 sijui wangeenea vipi kwenye hilo sofa...
labda kikwenga mkuu!
Kwa wabongo watakugeuzia kibao.
JK na watoto wake 17 sijui wangeenea vipi kwenye hilo sofa...
Mwambieni na Baba Naniliu wa magogoni naye aweke ya kwake na familia zake tuwaone.