Baba na Mama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba na Mama

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndallo, Aug 27, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Je kuna ukweli katika hili unaloliona hapa?
  Dady Mom.jpg
   
 2. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Waafrika haituhusu
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Inatuhusu sanaaa,
  tena nyie wa Tz ndo kabisaaa!!!
  Mmezidi.
   
 4. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndallo, habari yako bwana ! habari za siku mingi
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wanaume, wachache sana ni walezi. Nyie wakiTZ ndo usiseme ukiachiwa ulezi hata mama kenda dukani eti keshakuwa Bushoke
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hebu nijaribu leo jioni!
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  no comment, nakatiza zangu
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,332
  Likes Received: 19,497
  Trophy Points: 280
  not me
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ntarudi
   
 10. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Loading.........
   
 11. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tusipende kuiga kila kitu,haya mambo ya wakoloni tuwaachie wenyewe.
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kama yapi?
   
 13. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ina maana huyajui madamX?hata ufisadi wa magamba ni mambo ya wakoloni...wanawake kutembea uchi town huwezi jua anaenda ofisini au club,hizi zote ni balaa la wakoloni....
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Kwani hao watoto tuliowalea hadi tukapata wajukuu tumesaidiwa na nani??

  Naomba usiwasemee wanaume wote dada!!

  Babu DC!!
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Nakubaliana na wewe...Wanaume wa Kibongo hatuwezi kufanya ulezi kama wa hao jamaa ambao unakuta dume linashinda na mtoto for over 12hrs kwa sababu tuna sababu za msingi!

  Kwa mfano, utakaaje na mtoto mdogo muda mrefu wakati una house girl na wanawasichana wengine kibao ndani ya nyumba? Na wakati huo, unatakiwa kukimbiza mwenge kusaka pesa ya kula??

  Ila siyo kwamba hatujui kulea, tunalea kwa namna yetu wenyewe, which is special for us only....!!!

  Babu DC!!
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,023
  Likes Received: 23,767
  Trophy Points: 280
  Nyie ma- Madame wawili mjue kabisaaaa............ Kulea ni kazi ya mama. kazi ya baba ni kutafuta hela na kunywa Biya nyingi!!
   
 17. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe mkuu,sisi hatuna utamaduni huo toka enzi za mababu na watoto wanakuwa vizuri tena kwa maadili sasa hivi wanatuletea mambo yao eti na mwanamme apewe likizo ya uzazi,mtoto akilia nitamnyonyesha?
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, social behaviour zinajengwa na tamaduni, perception ya jamii iliyokuzunguka kususu mambo tofauti na ustaarabu wa kuiga kutokana na watu kukaa mbali na tamaduni zilizowakuza. Kwenda shule ni moja ya sehemu hiyo.

  Sasa inakera pale ambapo wanawake wanataka kulazimisha kuacha yale yote waliyokuwa nayo na kukumbatia waliyoyakuta vyuoni na makazini na kwenye semina na warsha na kwenye Luninga na magazines.

  Binadamu sio kama crane, unaswitch on hiki na kuswitch off kile.
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa mkuu. Hata kama yanatokea mabadiliko, ni muhimu yaende taratibu badala ya kutaka overnight transformation.
   
 20. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anamkomaza ili asijekuwa mtoto wa mama (yaani kudekadeka)
   
Loading...