Itaanza Uingereza then mtafua watanzani
haka kamchezo ka baba na mama kanaharibu sana watoto
Please tafuta mtandaoni, kuna wahindi 'wazazi' ndio wazazi wadogo kuliko wote duniani...Baba ana miaka 11 na mama ana miaka 12.
Wote wako chini ya 18, adhabu wa ubakaji itamwangukia yupi ?
I think kuna siri nyuma ya hii story. I fanyiwe uchunguzi zaidi.
Mfano:
1. Je huyo dada hajafanya mapenzi na kaka yake huyo "baba" mwenye umri zaidi ya miaka 18? Au labda alikua babysiter wake na mzee mwenye nyumba akamlmba? Lili kuepuka kifungo wakamueka dogo chambo...fikiria!
Changa la macho wazungu wanajifanya wao ndio wa kwanza,13 mbegu zake zimeshakomaa???
Hiyo sio record ni Full Laana!
Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...
Source;
Mwakalinga
I think kuna siri nyuma ya hii story. I fanyiwe uchunguzi zaidi.
Mfano:
1. Je huyo dada hajafanya mapenzi na kaka yake huyo "baba" mwenye umri zaidi ya miaka 18? Au labda alikua babysiter wake na mzee mwenye nyumba akamlmba? Lili kuepuka kifungo wakamueka dogo chambo...fikiria!
Dah kweli hii ni noma