Baba mwenye umri mdogo kuliko wote duniani

Baba mwenye umri mdogo kuliko wote duniani

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,769
Reaction score
3,649
Huyu ndiye baba mwenye umri mdogo kuliko wote duniani akiwa na mke wake.

image002.jpg

Mtoto Face Alfie, ambaye ana miaka 13 (kushoto)ndie baba mdogo kuliko wote duniani. Yeye pamoja na rafiki yake wa kike Chantelle Steadman (15) (kulia) kutoka Sussex County nchini Uingereza waliamua kumzaa Maisie Roxanne mwenye ratili 7 katikati.​
 
the world is no longer a safe place to live. Kila watu wanataka kuvunja record. Siku siyo nyingi totaoneshwa mtu anayeongoza kufi.ra wenzake hadharani.
 
the world is no longer a safe place to live. Kila watu wanataka kuvunja record. Siku siyo nyingi totaoneshwa mtu anayeongoza kufi.ra wenzake hadharani.

Ha ha haaaa!!! Umetoa kali mkuu.
 
How do they know hakuna alie zalisha even before that? ni vigumu sana kujua sababu any woman who will confess to be pregnant of a child will face prosecution (unless she is a child herself). It is less easy to hide when the situation is inverted.
 
Huyu ndiye baba mwenye umri mdogo kuliko wote duniani akiwa na mke wake.

image002.jpg

Mtoto Face Alfie, ambaye ana miaka 13 (kulia)ndie baba mdogo kuliko wote duniani. Yeye pamoja na rafiki yake wa kike Chantelle Steadman (15) (kushoto) kutoka Sussex County nchini Uingereza waliamua kumzaa Maisie Roxanne mwenye ratili 7 katikati.
​

Baba anaonekana kama mama na mama kama baba, au umekosea kuandika hizo "kulia" na "kushoto"?
 
Sasa hapo si ni sexual abuse kabisa?Yani binti anamharibia uvulana wake huyo dogo
 
How do they know hakuna alie zalisha even before that? ni vigumu sana kujua sababu any woman who will confess to be pregnant of a child will face prosecution (unless she is a child herself). It is less easy to hide when the situation is inverted.

You are right Russian Roulette. Wao wamesema kulingana na takwimu walizonazo lakini haimaanishi kuwa yeye ndio kijana wa mwisho mwenye umri mdogo kuliko wote kuzaa. Inawezekana kuna wengine waliozaa wenye umri mdogo kuliko yeye ila hawajulikani.
 
the world is no longer a safe place to live. Kila watu wanataka kuvunja record. Siku siyo nyingi totaoneshwa mtu anayeongoza kufi.ra wenzake hadharani.

Itaanza Uingereza then mtafua watanzani
 
Wote wako chini ya 18, adhabu wa ubakaji itamwangukia yupi ?
 
I think kuna siri nyuma ya hii story. I fanyiwe uchunguzi zaidi.
Mfano:
1. Je huyo dada hajafanya mapenzi na kaka yake huyo "baba" mwenye umri zaidi ya miaka 18? Au labda alikua babysiter wake na mzee mwenye nyumba akamlmba? Lili kuepuka kifungo wakamueka dogo chambo...fikiria!
 
Back
Top Bottom