Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Habari za mwisho wa wiki, natumai mnaendelea vyema kulidhibiti janga la dunia kwa sasa.

Leo nikiwa napata mlo wa mchana nilikaa pembeni ya dirisha kiasi nikawa nawaona wote wanaopita mtaani.

Mara akapita baba mmoja ambaye anaishi na mtoto wake wa kiume tuu (singo faza), wenyewe wamevaa barakoa, kofia za kapelo mdogo mdogo sikujua wanaelekea wapi Ila niliwasindikiza kwa macho hadi walipopotea machoni pangu.

Kijana wake ni mkubwa tuu kiasi wanataka kulingana urefu Ila baba amezidi urefu kiasi.

Huyu baba anaendesha gari meaning wa Nissan Navara Ila ni Toyota zile zina double cabin.

Kiufupi huyu baba huwa namhusudu sana hana mazoea na mtu yuko kivyake vyake zaidi ya Salamu hana habari, pia anaonesha ni mtu wa mazoezi maana siku nyingine huwa anafunga baiskeli nyuma ya gari yake.

Mwili wake sasa...ile ile miili nnayoizimikiaga ya kinyamwezi bin kisukuma yeeuwiiihh...

Nimemtamka kuwa ni baba mlezi, sababu muda mwingi anakuwa na kijana wake na sijawahi kumuona akiingia jinsia yeyote ya kike pale nyumbani kwake. Naona amejitoa kwa malezi ya kijana wake...nilimkuta hapa mtaani hivyo sijui kama hakuwahi kuoa kabisa au mkewe alikifa au mke alimkimbia....

Sijui kama yuko humu Ila singependa ajue maana ntakuwa na aibu kila nikimuona.

Roho imenitua kuusifia uumbaji wa Mungu.

Ever Smiling Kasie.
Singa msyalo,wanilekaga wakulugo🤔
 
Hana basi huko mbalii ukuyeee hukuu kiasali looh...

Nimejikuta nawaza....., hivi asali huwa inachacha au iko kama wine....jinsi inavyokaa muda mrefu ndivyo inazidi kuwa tamuu....!!???
Kuna asali imegoma kutoka kwenye chupa ya konyagi nimeshindwa nifanyeje..kijiko nacho hakiingii sijui itakua imeoza au laa.

Yule Baba ni Mhehe na ni boss wangu
 
Kuna asali imegoma kutoka kwenye chupa ya konyagi nimeshindwa nifanyeje..kijiko nacho hakiingii sijui itakua imeoza au laa.

Yule Baba ni Mhehe na ni boss wangu


Jaribu kuchemsha maji kwenye sufuria mishap yaweke pembeni kabla hayajapoa weka chupa ya asali, inaweza kuyeyuka na ukaimimina, isipoyeyuka basi itupe tuu. Ingekuwa chupa ya plastiki unaikata ili upate hiyo asali iliyo mbali.
 
Jaribu kuchemsha maji kwenye sufuria mishap yaweke pembeni kabla hayajapoa weka chupa ya asali, inaweza kuyeyuka na ukaimimina, isipoyeyuka basi itupe tuu. Ingekuwa chupa ya plastiki unaikata ili upate hiyo asali iliyo mbali.
Niliwaza hivyo ila nikadhani chupa inaweza kupasuka then nikakosa vyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom