Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

I exercise often to keep my body active and flexible. Consider what I eat not to let me out of the size...
Smiling every morning and evening to get away the wrinkles...

NB: this is not a formula.
Kama kuna video au kapicha itapendeza zaidi tutoe max
 
kula kitu roho inapenda, jioni ntapita tuyajenge nam nii siku nyingi nakuwazia kama wewe tu, nimefurahi sana kujua tu wamoja kihisia
 
kula kitu roho inapenda, jioni ntapita tuyajenge nam nii siku nyingi nakuwazia kama wewe tu, nimefurahi sana kujua tu wamoja kihisia

Thank you, Karibu sana utakuta nimekuandalia shurbati ya kuondoa korona...
 
Hana basi huko mbalii ukuyeee hukuu kiasali looh...

Nimejikuta nawaza....., hivi asali huwa inachacha au iko kama wine....jinsi inavyokaa muda mrefu ndivyo inazidi kuwa tamuu....!!???
Ahahahaaaaa kiasali una viiiisa!

Asali haichachi na kadiri inavozidi kukaa inazidi kunona na kunoga pia. Ikichuruzishiwa kuleeeeee kisha inalambwa uuuuuhhhhhh ssssshhhhhhh!

Kasie
 
Ahahahaaaaa kiasali una viiiisa!

Asali haichachi na kadiri inavozidi kukaa inazidi kunona na kunoga pia. Ikichuruzishiwa kuleeeeee kisha inalambwa uuuuuhhhhhh ssssshhhhhhh!

Kasie

Aahahahhaaa

Mahanjam hayoo kiasali....

Unaupandisha mzuka aiseeehh....
 
Aahahahhaaa

Mahanjam hayoo kiasali....

Unaupandisha mzuka aiseeehh....
Ndiwooooo mahanjam haswaaaaaa

Nailamba asali kwa kiasali huku unadunda ule wa alamba alamba aaaaam..... aaaaammmm.....aaaaaammmmmmm hadi mzuka upande kishuke kitu aina ya kimiminika fulani hivi unajua eeeenhhhh!!!! Kikichelewa naparaza paraza na m'bichwa woooouuuuuuu!

Baasiiiii, watoto pia wako karantini, watasikia mahanjam ya baba na mama halafu watuanzishie uzi...
 
kula kitu roho inapenda, jioni ntapita tuyajenge nam nii siku nyingi nakuwazia kama wewe tu, nimefurahi sana kujua tu wamoja kihisia
 
No b
Habari za mwisho wa wiki, natumai mnaendelea vyema kulidhibiti janga la dunia kwa sasa.

Leo nikiwa napata mlo wa mchana nilikaa pembeni ya dirisha kiasi nikawa nawaona wote wanaopita mtaani.

Mara akapita baba mmoja ambaye anaishi na mtoto wake wa kiume tuu (singo faza), wenyewe wamevaa barakoa, kofia za kapelo mdogo mdogo sikujua wanaelekea wapi Ila niliwasindikiza kwa macho hadi walipopotea machoni pangu.

Kijana wake ni mkubwa tuu kiasi wanataka kulingana urefu Ila baba amezidi urefu kiasi.

Huyu baba anaendesha gari meaning wa Nissan Navara Ila ni Toyota zile zina double cabin.

Kiufupi huyu baba huwa namhusudu sana hana mazoea na mtu yuko kivyake vyake zaidi ya Salamu hana habari, pia anaonesha ni mtu wa mazoezi maana siku nyingine huwa anafunga baiskeli nyuma ya gari yake.

Mwili wake sasa...ile ile miili nnayoizimikiaga ya kinyamwezi bin kisukuma yeeuwiiihh...

Nimemtamka kuwa ni baba mlezi, sababu muda mwingi anakuwa na kijana wake na sijawahi kumuona akiingia jinsia yeyote ya kike pale nyumbani kwake. Naona amejitoa kwa malezi ya kijana wake...nilimkuta hapa mtaani hivyo sijui kama hakuwahi kuoa kabisa au mkewe alikifa au mke alimkimbia....

Sijui kama yuko humu Ila singependa ajue maana ntakuwa na aibu kila nikimuona.

Roho imenitua kuusifia uumbaji wa Mungu.

Ever Smiling Kasie.
"Nobody can stop mbinaa ×3
Coz mbinaa strong"

Mayo imebidi nihamie kwenye reggae kwa muda coz mbinaa strong 💪

Ila kale ka wimbo ka "bhanike bhobaa bhobaa eeeh bhobaa" nitakaimba keshoo mchana coz mbinaa strongly

Haaaaa Kasie matata wewe waniyanja getegetee 😁
 
Hivi dada samahani wewe ukiwa kama mwanamke unaweza ukalielewa hili, hivi inaweza likatokea binti akampenda baba mtu mzima wa 40 hivi na kuendelea
 
Hivi dada samahani wewe ukiwa kama mwanamke unaweza ukalielewa hili, hivi inaweza likatokea binti akampenda baba mtu mzima wa 40 hivi na kuendelea

Inawezekana kabisa, penzi la ukweli linaloanzia ndani lisilochagua hali na mali bali utu umri si tatizo (Ila sio kwa wote, mie mwenyewe umri kwangu ni kigezo muhimu sana).
 
No b

"Nobody can stop mbinaa ×3
Coz mbinaa strong"

Mayo imebidi nihamie kwenye reggae kwa muda coz mbinaa strong 💪

Ila kale ka wimbo ka "bhanike bhobaa bhobaa eeeh bhobaa" nitakaimba keshoo mchana coz mbinaa strongly

Haaaaa Kasie matata wewe waniyanja getegetee 😁

Aahahahahhahaaaa bheebhee

Kumbe unajuaga kuimba iiiggghhhh....

Napendaga mie...
 
Back
Top Bottom