Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Nikiwa mkubwa natamani nipate mahaba matata

Kua tu mdogo wangu, shurti lake ujitume kila sekta, kwenye mziki, kazi, michezo, sanaa, chumbani n.k. utapata mahaba yooteee.
 
Hakika nimeanza kuona nakosa mengi walahi.
Jamaniii, si unisemeshe semeshe sasa halafu uniite nyumbani kwako kuja kukisaidia kitu looh....aahahahahahaa

Usiwe mkimya banaa...unakosa utamu ujue eehehehehehee.
 
Inawezekana kabisa, penzi la ukweli linaloanzia ndani lisilochagua hali na mali bali utu umri si tatizo (Ila sio kwa wote, mie mwenyewe umri kwangu ni kigezo muhimu sana).
Angalau kwa ushauri naamini ushakuwa mzoefu kidogo katila mahusiano, umri upi angalau umzidi Mwanamke wa kuoa kabisa.
 
Vyema mpishane kuanzia miaka 3 hadi 8.
Hiyo ni kisaikolojia zaidi na afya ya uhalisia wa maisha, Ila ukiwa na exceptional cases gap inaweza kuwa ndogo zaidi au mkubwa zaidi. Hakuna formula kwamba ikiwa hivi itakuwa hivi au ikiwa vile itakuwa namna ile.

Kikubwa mpatane, mnie mamoja, muelewane, mheshimiane na kuchukuliana.

Lower yourself down to earth without expect anything, utaishi maisha marefu sana.
 
Kasie kumbe ndio wewe jirani? nimefurahi kukujua maana nilikuona pale dirishani unatuchungulia na mwanangu Junior. Kwa ufupi niliachana na mama Junior alinisaliti na kuondoka na mwanaume kwenda Dubai.

Toka hapo sikufikiria kuoa tena ingawa naishi Maisha ya upweke na sipendi kuchangamana na watu.
Napenda mazoezi uwa naenda gym na pia naendesha baiskeli kuweka mwili sawa

Napenda nikufahamu na wewe zaidi
 
Nashukuru sana kwa kunisaidia kwa mtazamo huu maana ni lazima kuuliza watangulizi au wajuvi wa mambo. Asante
 
Kasie kumbe ndio wewe jirani? nimefurahi kukujua maana nilikuona pale dirishani unatuchungulia na mwanangu Junior. Kwa ufupi niliachana na mama Junior alinisaliti na kuondoka na mwanaume kwenda Dubai.

Toka hapo sikufikiria kuoa tena ingawa naishi Maisha ya upweke na sipendi kuchangamana na watu.
Napenda mazoezi uwa naenda gym na pia naendesha baiskeli kuweka mwili sawa

Napenda nikufahamu na wewe zaidi

Aahahahahhaaaa Jigaa, jana ulienda wapi?? Nna hamu ya kupanda double cabin yako Toyota Hilux...🙈🙈🙈🙈

Karibu leo jioni kwa kikombe cha kahawa.
 
Tulitoka kidogo na junior nilienda kumtafutia baadhi ya mahitaji yake. Double Cabin utapanda tu tufahamiane vizuri
 
Mlilala hukohukoo? Hadi leo asubuhi sikuona gari....

Hahahahahhaaa nakufatilia ujue kila siku asubuhi na jioni napita naangalia nisipoona garia najua umetoka....

Eehehehhee nimekuwa mchunguzi wa kujitakia looh.
 
I exercise often to keep my body active and flexible. Consider what I eat not to let me out of the size...
Smiling every morning and evening to get away the wrinkles...

NB: this is not a formula.
Kasie bhana..kweli matata
 
Baba Mlezi. Baba Muhifadhi.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom