Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Mfungukie tu mapema. Maisha yenyewe mafup ujue

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu baba mlezi hata jina lake simfahamu, na kijana wake anasoma shule za kizungu anafatwa na school bus mlangoni na kurudishwa walau ningemuuliza nipate pa kuanzia.

Naupa muda nafasi, ntajamwambia tuu siku moja.
 
Safi.

Ndiye mimi sema huwa tunapishana kimya kimya [emoji23]


Jamaniii, si unisemeshe semeshe sasa halafu uniite nyumbani kwako kuja kukisaidia kitu looh....aahahahahahaa

Usiwe mkimya banaa...unakosa utamu ujue eehehehehehee.
 
kula kitu roho inapenda, jioni ntapita tuyajenge nam nii siku nyingi nakuwazia kama wewe tu, nimefurahi sana kujua tu wamoja kihisia

Wabheejaa sana.
 
Umenigalagaza tayari kwisha habari yangu eehehehehe.
baada ya kushiba hii kitu ni kunengula bujiku pyee
03f485f0b0a74314aa82744d276ee446.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom