Wazo la leo... KUWA NA BABA MASIKINI NI MPANGO WA MUNGU, ILA KUA NA BABA MKWE MASIKINI NI UZEMBE WAKO MWENYEWE.
Tafakari
:::kama ulizaliwa maskini siyo kosa lako, lakini ukifa maskini ni makosa yako"wazo la leo... Kuwa na baba masikini ni mpango wa mungu, ila kua na baba mkwe masikini ni uzembe wako mwenyewe. Tafakari
:::kama ulizaliwa maskini siyo kosa lako, lakini ukifa maskini ni makosa yako"
hilo nalo neno bro Von Mo.
oyooooooo! me jf nina account moja tu ndg zangu, hata hivyo muda unavyozidi kwenda nazidi kuwa bize so nakuwa naimiss jf.................wewe ni Von Mo ?
Sasa wote tukiwa matajiri nani atakuwa maskini ??