Vp kwa upande wa mke yeye anareact vp je anatoa maelezo yoyote ya kukuplease au yuko kmya tu?
Nakushauri mtafutie bi mdogo kuongeza ushindani,mimi sasa hivi nimeamini kuwa ukitaka kujua tabia ya binti fuatilia tabia ya mama mzazi ama mlezi![/QUOTE]
Kwa hali kama yangu usemalo halina ubishi
Mama anaishi naliendele/bukoba/kigoma/tarakea....etc binti umekutana nae JIJI la rakha (DSM) utaenda mchunguza mama ake saa ngapi huko kijijini
Ngoja tujaribu kuvaa uhusika wa hao wazazi; fikiria wewe Mwana Kwetu mwanao ameolewa na kuishi na mume miaka 10 hujasikia malalamiko yoyote kutoka kwa mkwe wako. Ghafla unashangaa binti yako anarudishwa kuja kujifunza adabu bila maelezo yoyote kutoka kwa mkweo; elewa hapo binti ni lazima avutie kwake! Je wewe ungekubaliana na hilo? usingehamaki na kutoa vitisho? nani angependa kurudishiwa binti aliyeshindana na mumewe? Wao hawakutakiwa waanze kukuhoji wewe matatito ya mtoto wao kwa kuyasikia pembeni; Wewe pia ulitakiwa uende kuongea na wakwezo mapema kuhusiana na tabia za mkeo. Siwatetei kwamba sio wakorofi ila najaribu kukuonyesha hata wao wanakuona wewe mkorofi.
...Duh! Mkuu Paka Jimmy, hayo Masharti unayodhani Jamaa kamuwekea Mkewe...!!! Ngoja kwanza niendelee Kuvunjika Mbavu..!!!😛ound:😛ound:
Ni wiki imepita tangu nimrejeshe kwao wife kwa mara ya kwanza tangu tuoane miaka 10 iliyopita kutokana na kutozingatia makubaliano tunayowekeana kama couple na jeuri
NISAIDIENI BUSARA ZA KU REACT!!!!
Nyie wote mna mfumo dume!
Cha msingi hapa ni kumuuliza huyu mleta mada,,,,Je ni mambo gani ambayo yeye yuko deficient nayo?
Mleta mada utakuwa na tatizo serious ambalo wewe binafsi hujalisema hapa, au la hutaki kulisema hadharani, na hiyo itafanya wachangiaji washindwe kutoa fair decision au rule out!
Je huyo mwanamke anaanza spontaneously kufanya kiburi bila kisababishi?...sema unachomfanyia bana!
Nilivyokusoma we jamaa unaonyesha kwamba una MASHARTI MAZITO sana unayomwekea mkeo, na ndiyo maana wazazi wake wameona hiyo haitafaa kuendelea!
Jichunguze upande wako, kwanini umwekee masharti binadamu ambaye ni mkeo, kama vile unamfuga?
Je yeye amekuwekea MASHARTI?
Nikiangalia kwa uzoefu jambo hili, MASHARTI ndani ya ndoa ni kitu kibaya sana!
Mimi kwa uzoefu wangu nahisi huenda unamwambia mkeo kuwa:
-Mwisho wa kurudi nyumbani kama ulitoka ni saa 11.00 jioni!
-Ukipika wali pima kwa vikombe viwili tu, hata kama kuna wageni!
-Marufuku kuleta ndugu zako hapa!
-marufuku kuleta mashoga zako nyumbani.
-Nikiwa nafika nyumbani hakikisha maji ya kuoga yapo tayari bafuni.
-dozi kutwa mara mbili.
-nikiondoka nyumbani tu hakikisha unazima umeme kwenye saketi-breka!
-na vitu vya namna hiyo!
Kweli kabisa broda kama una masharti ya hivyo, au yanayoendana na hayo ndoa imekushinda, na utaoa hata mara 5 lakini usipobadilika wewe unacheza tu!
WEKA HADHARANI HAPA, MASHARTI UNAYOMPA MKEO HADI WAZAZI WAKE WANAKOSA SUBIRA, NI YEPI HAYO?
Ndoa ni taasisi inayoendeshwa kwa two way traffic na siyo dominant and recessive party!
Yote uliyosema Paka si ya kweli hayapo ndoa yetu ni ya wafanyakazi wasomi hatunaga mambo ya kijinga
Ngoja tujaribu kuvaa uhusika wa hao wazazi; fikiria wewe Mwana Kwetu mwanao ameolewa na kuishi na mume miaka 10 hujasikia malalamiko yoyote kutoka kwa mkwe wako. Ghafla unashangaa binti yako anarudishwa kuja kujifunza adabu bila maelezo yoyote kutoka kwa mkweo; elewa hapo binti ni lazima avutie kwake! Je wewe ungekubaliana na hilo? usingehamaki na kutoa vitisho? nani angependa kurudishiwa binti aliyeshindana na mumewe? Wao hawakutakiwa waanze kukuhoji wewe matatito ya mtoto wao kwa kuyasikia pembeni; Wewe pia ulitakiwa uende kuongea na wakwezo mapema kuhusiana na tabia za mkeo. Siwatetei kwamba sio wakorofi ila najaribu kukuonyesha hata wao wanakuona wewe mkorofi.
Ni wiki imepita tangu nimrejeshe kwao wife kwa mara ya kwanza tangu tuoane miaka 10 iliyopita kutokana na kutozingatia makubaliano tunayowekeana kama couple na jeuri, ubabe pamoja na kiburi. Lengo la kumpeleka si kumfukuza bali ili wazazi wamhoji na kumshauri baada ya wazazi wangu kufanya kazi hiyo miaka zaidi ya 9. Wazazi wangu (mwanaume) wamekuwa kimbilio la mke wangu kwa zaidi ya miaka 9 hata pale mkosa anapokuwa ni yeye akiamini wao nitawasikiliza zaidi pale wanapoomba nimsamehe wife. Kwa upande mwingine hajawahi kimbilia kwao licha ya kuwa jirani na tunapoishi kwa kuona ndugu zake watamwona ameshindwa kuishi ktk ndoa. This time nimemwambia aende kwa wazazi wake na then tutaongea mambo yote pale baada ya wiki moja.
Siku mbili baada ya kufika kwao Mama yake kaanza kulaani mimi(mume) kumpa binti yao masharti ya kuishi ktk ndoa na kusema ni marufuku mimi kumpa masharti binti yao. Kwa tone hiyo hiyo siku nne baadaye baba mkwe kanipigia simu KUNITISHIA KWAMBA atamleta KWA NGUVU BINTI YAKE huku mama yake akisema nisipofungua nyumba wakati wa kumleta WATAVUNJA MLANGO WAMWINNGIZE NDANI.
Cha ajabu hawa wazazi wa binti hawajawahi niuliza tuna ugomvi gani, tometofautiana nini bali kunilaumu hata bila kunisikiliza. Hali hii inanifanya niamini kuwa ujeuri, ubabe na kiburi cha binti yao ambaye ni mke wangu kinakuzwa na hawa wazazi wake kwa kutokuwa rational.
Ndugu zangu wanachukulia huu kama udhalilishaji na vita isiyokuwa ya lazima ya ukoo na dharau kwa upande si wa ndugu zangu tu bali hata kwa mume wa binti yao.

imenisikitisha sana ishu hii. Pole sana ndg yangu, hiyo ni mitihani katika maisha na mitihani hiyo tumeumbiwa sisi wanadamu. Kaka cha kufanya hapo ni kuwashirikisha ndugu zako wewe wajue vitisho unavyopata kutoka kwa wazazi wa mkeo, (nimekushauri uwashirikishe ndugu zako pia kwa kuwa kwa sasa matatizo yenu sio siri za ndani tena, familia zenu zinayafahamu). Hii itasaidia kwa wao pia kuingilia kati na kukaa pamoja pande zote mbili na kufikia muafaka wa suala hili.
Hivi mwanamke hawezi fanya maisha yake bila kuwa kwenye ndoa? Kitendo cha wazazi kutoa vitisho ni kuonyesha jinsi walivyo wadhaifu kwa kutaka kumrudisha haraka kwa mmewe. Wanaona shida gani ya kumuita mkwe wao na kujua nini hasa tatizo linalowakabili.