Hao wadada uliokodi ndo wamesbabisha ukatozwa adi gharama ya vyakula....ungechukua watu wazima ndugu zako isingekuwa ivo, afu una bahati, kwetu uniletei watu wa kukodi aiseee
Vile tunatofautiana, jamii yangu suala la kupangiwa mahari uwa wanatakiwa wazazi/walezi....baba, mama, mjomba, shangazi, ba mdogo,mkubwa.....Nani amekwambia kuwa wote wanaoenda ukweni ni ndugu asilimia mia, unaweza chukua ndugu jamaa na marafiki plus ndugu zako mambo yanaenda kiivyo
Ok nimekusoma lakini sio sawa kumpangia mkweo mahali Kubwa kiasi kile kwa maana kuoana ni kuunga udugu baina ya pande mbiliVile tunatofautiana, jamii yangu suala la kupangiwa mahari uwa wanatakiwa wazazi/walezi....baba, mama, mjomba, shangazi, ba mdogo,mkubwa.....
Elimu inahusika vipi kwenye mapenzi?Lengo la huu uzi ni kuwachafua wachaga kuonyesha hawaoleki.
Kaoe kwenu kwa mahari ya kuku hao std 2 hata lasaba hawamalizi. Butu ile mbaya.
Huwezi chukua kichwa huku unalalamika.
Eti umemtia mimba.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika wewe ni [emoji241].
Mimba inatolewa. Damu ya kijinga kama yako inachafua ukoo.
ndugu kwani uchagani na LOAN BOARD kuna tofauti? kwanini hadi udaiwe? hivi mkifanya heshima tu mnaumia nini?Mahari ya milioni 5? Uchagani sehemu gani? Kwanza sisi wachaga tunaamini mahari haishii utalipa mpaka uzeeni.
Labda mshenga wako hakuelewa utaratibu kuna vitu vya muhimu vya kulipa katika mahari ya awali havizidi laki 8.
Vinavyobaki kama mifugo utalipa unavyojisikia mpaka uzeeni.
Asante ndugu, akikujibu uniite.Elimu inahusika vipi kwenye mapenzi?
[emoji23]Naona unanyemelea cheo cha bwana afya wa porini[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaSolution hii hapa mkuuView attachment 1220901
Aisee, ndugu yangu wa Pg, mtaa gani unaishi? mi nipo kongowea.Kupanga ni kuamua.
Ungekuja huku Pangani elfu 50 unatoa mahari ukitembea kifua mbele.
Chenji inayobaki unapika wali watu wanakula mpaka kubeba kwenye mifuko.