Pole sana. Ila sijakuelewa hapaWandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.
Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.
Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.
Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.
Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
MkubalieWandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.
Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.
Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.
Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.
Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Mpaka sasa kuna majibu ambayo au maongezi ambayo au majibu ambayo umekuwa ukimjibu huyo Mkwe wako ambayo ukiombwa uyaweke hapa kama yana ishara ya kumkatalia utashindwa kuyaweka mimi kama mhenga wa JF nakushauri endelea na kile Moyo wako inakihitaji kwa kuwa tayari moyo wako una mengi ambayo huwezi kuyaweka wazi kwetu ambayo yanakuhusu wewe na huyo mkwe wako,, Kwa mfano ukiulizwa maombi hayo yameanza lini toka Mkewe afariki? Je Kipindi huyo Mkwe wa kiume anakomolia kuachia mahusiano Mkewe alikuwa yu hai? Kwa hiyo Mimi Kama mimi ambaye ni mhenga Mkuu humu JF Moyo wako una mengi kuliko ushauri utakao pewa?Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.