Vizuri lakini huo ni mtego, pia unadeni la kulipa kwa huyo Binti. Hakikisha hiyo furaha haikomi milele.
Kwanini unaita tetesi?Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.
Baba mkwe alisema nataka kuona hao wawili wana mahusiano mazuri.
Basi baada ya miezi kadhaa kupita ilibidi nitoe taarifa kwa mshenga kwamba nataka tukatoe mahari.
Taarifa ilimfkia baba mkwe na tulipanga siku ya kutoa mahari.
Ikiwa imesalia wiki moja kufika siku ya tukio, bibie alitangulia kwao ili kupokea wageni wake.
Ajabu baba mkwe aliomba kuongea na mimi, akanimbia anataka mimi niende kwanza kabla ya tukio.
Basi nilipohitikia wito wa baba mkwe, aliniuliza maswala mengi na tuliongea kama masaa 3 hivi na mchanganyiko wa story za huku na kule.
Baada ya maongezi, baba mkwe akasema sioni sababu za wewe kutoa mahari kikubwa ni kuzingatia hayo tuliongea na kumtanguliza Mungu.
Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.
Baada ya kurudi home,simu yangu moja kwa moja kwa mshenga kwamba ukweni hawataki mahari ila tutaenda kufamiana na maongezi zaidi lakini tusipeleke cent yeyote.
Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.
Huyo baba mkwe ni kama mimi, nimeshapanga sitakuja kupokea mahari kwa mabinti zangu
Hii story imeanza kwa kutumia wakati uliopo na ghafla ikahitimishwa kwa wakati uliopita! Kikubwa umeoa bila mahari, ashukuriwe MUNGUMwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa
Ogopa sana sana Madingi wa style hii Kamanda wangu, ukiwazingua watakufanya kitu mbaya! wala usifurahi hata kidogo kama utaweza kuishi nae kama matarajio ya mzee hapo ni sawa ila ukienda tofauti na hapo umekwisha na kwa story yako hii inaelekea huyu binti ni Kipenzi/mboni/tumaini la Baba yake pekee, sasa nakutahadharisha, kuwa makini.Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.
Mkuu naomba tufahamiane, mapema...Huyo baba mkwe ni kama mimi, nimeshapanga sitakuja kupokea mahari kwa mabinti zangu
Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.
Baba mkwe alisema nataka kuona hao wawili wana mahusiano mazuri.
Basi baada ya miezi kadhaa kupita ilibidi nitoe taarifa kwa mshenga kwamba nataka tukatoe mahari.
Taarifa ilimfkia baba mkwe na tulipanga siku ya kutoa mahari.
Ikiwa imesalia wiki moja kufika siku ya tukio, bibie alitangulia kwao ili kupokea wageni wake.
Ajabu baba mkwe aliomba kuongea na mimi, akanimbia anataka mimi niende kwanza kabla ya tukio.
Basi nilipohitikia wito wa baba mkwe, aliniuliza maswala mengi na tuliongea kama masaa 3 hivi na mchanganyiko wa story za huku na kule.
Baada ya maongezi, baba mkwe akasema sioni sababu za wewe kutoa mahari kikubwa ni kuzingatia hayo tuliongea na kumtanguliza Mungu.
Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.
Baada ya kurudi home,simu yangu moja kwa moja kwa mshenga kwamba ukweni hawataki mahari ila tutaenda kufamiana na maongezi zaidi lakini tusipeleke cent yeyote.
Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.
Mahari ndo ndoa yenyewe lazma utoe ..Katoe mahari man
Mimi nimesema nilicho kisema hayo mengine ni ya kwako kijanaHakuna kitu kama hicho kisheria na kiasili.
Ndoa haina uhusiano na Mahari kabisa
Kweli kabisa.Mahari ni ya mwanamke sio ya baba, bibi wala mjomba.... Mpe mkeo mahari yake acha janja janja