Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Anavyokula bata unavijua vyote? Wenzio hawamli kwa sababu za kidini na si sababu za usafi wa mazingira anayoishi na vitu anavyokula..!!! Kambale unajua anachokula?Hamna kitu ambacho ngurue Hali ;
Kinyesi ,udongo, watoto wake hata mwanao ukimuacha vibaya anapita naye
Cha ajabu BIA wanakunywa utadhani kurani imewaruhusu..!!! Yaani kwao dhambi ni kitimoto tu..!! Hayo makitu mengine wanayafanya utadhani wameruhusiwa na kitabu chaoKheri anayekula ktmt hadharani kuliko wanaojisifia kufanya ufuska hadharani kimasihara tena kheri huyo hana madhara kuliko kuwa na marafiki wanafiki ambao ukiondoka machoni pao sio lolote , nduguyo angekataa kula kuku sidhani kama ungekuja hapa nakushauri mind your business kile ukionacho bora kwa mwingine cha kawaida sana RESPECT OTHER PEOPLE'S CHOICES !
Ni kweli wapo wastaarabu hata ukienda kwao wanajali,Wardat weye ni kama miye lakini alhamdu lillahi ndugu zangu kwa mama ni waungwana mnooo,yaani nikiwepo utawaskia wananitaarifu kabisaaa n hawanishirikishi kabisaaa
Huyo sio mstaarabu tu baasi
Mimi sometimes wananunua ila kwangu hapana hawali na hawaleti hata wakija kwangu
Ni kweli uwezi kuona utama na zaidi utajutia etiNikuambie kitu imani ni kitu Cha ajabu mnooo yaani hata akionja kwa kua ni haramu kwake hataona utamu wake Mimi nshakula na sikuona hyo Ladha nilikua bahati mbaya ya aunty yangu na sitamani ndugu zangu wanakula mbele yangu ila walaa ht tamaa sipati
Ila nashukuru nimepata ndugu wazuri mnoo tumetofautiana kidini lakini hatukashifiani na tunapendana mnoo na sherehe zote tuko pamoja
mawardat huo uajabu unaousema ndo kinachokufanya usimle nguruwe?Mnyama wa ajabu sana
Baba mdogo wako ni mstaarabu, haitishwi na hadithi za kale zisizo na kichwa wala miguuWas salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Yaani hili ndo jibu sasa..!! Ukiniambia ni mnyama wa ajabu hapo umeongopa..!! Wewe humli nguruwe kwa sababu za imani yako na si uajabu wake..!!Imani yangu hairuhusu msimamo ndiyo huo
Kula hiyo Nyama MkuuWas salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
huna pointi ya maana. unawaza kupakuliwa tuIla ya wanao pakua mitaro ya wake zao sunna imebarikiwa au sio.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani huko kwenye mabanda hawali hadharani? Halafu umesema analetewa ndani sasa hapo hadharani iko wapi? Au wewe ukimwona unafikiri wote wamemwona?Angekuwa anakula huko mabandani kwa kitimoto
Yule ni kaka yake kuku.Unataka kusema kitimoto inaizidi kuku?
Kwani huko kwenye mabanda hawali hadharani? Halafu umesema analetewa ndani sasa hapo hadharani iko wapi? Au wewe ukimwona unafikiri wote wamemwona?
Ila huku zenj mtihani hadi tuje huko bara ndo tunapata ila kwa tahadhari maana ukionwa masharti yake kurudi uislam Tena ni aibu.
Kujificha kula ni tabia mbaya, inafundisha uchoyo na ulafi. Heko huyo baba mdogo kula nyumbani na kama hamlazimishi mtu wala kumshawishi achana nae.Hapo inahitaji busara za pande zote mbili, ila kwa huyu Baba Mdogo yeye tayari anakosa busara maana angeweza kufanya hayo mbali huko bila kukera wengine...ukizingati yeye ni Mgeni, vipi kama ingekuwa upo kwake, si ajabu angekulazimisha hata ule.
Ila naamini kwa imani zote kadri unavyopitia majaribu na kuyashinda ndivyo unavyopata thawabu zaidi.