Ukute ndio tegemeo la familia. Maisha yetu yana unafiki mwingi sana. Huyo baba yake mdogo kula kitimoto ni dhambi lakini yeye kubinuliwa sirini halali tuMvumilie,yatapita.Ila kama mmemchoka hapo mumchane live kuwa hatupendi hicho kitimoto kwenye nyumba yetu
Loooh hiyo nyama ni tamu??Niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja wa kiislamu miaka ya ujana wangu. Mwanzoni wakati namtongoza alinikataa kwasababu eti nakula kitimoto, sikumkatia tamaa nikaendelea kumbembeleza siku akakubali tukazana penzini.
Baada ya kumbanjua kwa zaidi ya mara tatu akakolea penzini ,siku moja akanitembelea geto akanikuta nimepoa poa sinachangamka ,kuniuliza nikamwambia nina hamu sana ya kula kitimoto sijala muda mrefu ....... Akaenda kuniletea nikala kisha yaliyofuata baada ya pale ni historia.
Mbeleni naye alianza kula mdogo mdogo haadi alipozoea na hadi sasa ni mlaji mzuri tu wa kitimoto japo anakula kwa kujificha sana.
Hizi dini ni mapokeo toka kwa waarabu na wazungu lakini zinatupelekesha utafikiri ni asili yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto mdogo sanaWas salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Hakuna nyama tamu kama kitimoto Duniani ikiandaliwa vizuri. Ikaushwe vizuri ule na ndizi au ugali woooouuuuuuuh! Na Pepsi bariiiiiiidi.......Loooh hiyo nyama ni tamu??
Mwache ale kwa afya yake, hii kitu ni tamu nyie! Kuendelea kuamini maneno ya mwarabu tusifaidi neema za nchi ni kujitesa bure.Was salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Kumbe tatizo lako wewe muoga ,Sijawahi kula pweza na sitojaribu,sijui namuonaje
Unataka kusema kitimoto inaizidi kuku?Hakuna nyama tamu kama kitimoto Duniani ikiandaliwa vizuri. Ikaushwe vizuri ule na ndizi au ugali woooouuuuuuuh! Na Pepsi bariiiiiiidi.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye maisha ni lazima ujifunze kupotezea. Mara yangu ya kwanza kuona mtu anakula senene nilishangaa sana na nilijiaminisha kwamba sitokuja kula senene (wakati huo niliona ni wadudu) /panzi.Angekuwa anakula huko mabandani kwa kitimoto
Kuku!? Kuku kitu gani mbele ya kitimoto!Unataka kusema kitimoto inaizidi kuku?
Ndugu miaka iyo sisi wakati tunakua ilikuwa mtoto akitaka kwenda shule au sehemu ya mbali na Nyumabani kwenye nguo yake anafungiwa mfupa wa kitimoto! Amini ni kinga tosha ya Majini na mashetani mabaya, Kama una mtu hapo nyumbani anasumbuliwa na Majini angalia kipindi hichi ambacho mjomba anatumia hapo happy nyumbani Kama atasumbuliwa. Lakini kilicho haramu kwako siyo kitimoto ni kula kitimoto, kwahiyo Kama hajakulazimisha utumie muache aenjoy maisha, ndiyo maana ni haramu kwake kuwa na wanawake wengi kwako halali lakini hajakuzia kwenda kwake na wake zako wote.Was salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,Was salaam.