Baba .....maana yake nini..........?

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
MTOTO: BABA LEO SHULE NIMESIKIA MWALIMU WAKISEMA WASHENZI NYIE MAANA YAKE NINI?

baba hataki mtoto wake ajue matusi akaamua bora amdanganye kumpotezea,......

BABA: MAANA YAKE NI WAGENI MWANANGU.

siku iliyofuata.....

MTOTO: BABA LEO WAKATI NATOKA DUKANI NA DADA NILISIKIA WATU WAKISEMA MAPUMBU MAANA YAKE NINI?

baba mawazo lol nini tena hiki kaua soo tena.....

BABA: MAANA YAKE MIAMVULI

siku ikaisha.

MTOTO: BABA JANA NILISIKIA WATOTO WA USWAHILINI WANASEMA KUTOMBANA MAANA YAKE NINI?

BABA: MWANANGU USISIKILIZE MANENO YA WATU ILA MAANA YAKE NI KUOGA.

mtoto akaacha kusikiliza maneno ya watu, baada ya siku kadhaa wageni wakaja kwao wakati mvua kali inanyesha mambo yakawa hivi......

MTOTO: KARIBUNI WASHENZI WEKENI MAPUMBU YENU HAPO NJE YAVUJE MAJI BABA ANATOMBANA..........lol....!!!!!

baada ya mapokezi hayo wageni waliondoka bila hata kuitikia karibu ila walisahau mapumbu yao pamoja na mvua ilikuwa inanyesha ....! lol!

NAMALIZA HIVI, WATOTO HAWADANGANYWI.
 
..ya ya ya ya!.naenda kusemea kwa mama,ngoja na mie niweke pumbu ya nje ivuje maji,then niende kwa bafu nika¤¤mbe manake nje yanyesha na nina uchovu wa kazi..
 
mama alipoingia home akauliza mtoto hii miamvuli hapa nje ya nani toto akajibu ya washenzi na ila wameondoka baada ya kumwambia baba anatombana mama hapohapo kazimia akijua mumewake kazini mbele ya mtoto wao
 
Sina neno mimi ... Kwa kua najua.... Huyo ni mzazi mwenzangu mpenzi upepoo...... Ipo siku eee.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom