Siasa ni zaidi ya hizo CV na uzoefu!Naomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.
Hivi Baba Levo ni mgombea dhaifu??Imekaa kimtego sana hii. Amewekwa mgombea dhaifu ili Mh. Zitto alipwe fadhila. Time will tell.
Zitto ana uzoefu wa niniHivi Baba Levo ni mgombea dhaifu??
The guy has it all.
Elimu? Hakuna anayejali elimu ni hapa tu JF ambapo Wengi wetu tumesoma na hatuna kazi. Wapiga kura wengi wanataka mtu anayefanana nao...na Baba Levo ni typical sample ya mtu wa kawaida wa mtaani....
Upinzani ni mkubwa lakini kwasababu Zitto ana uzoefu.
That's fact kuna wajinga wa JF ni useless ,Hivi Baba Levo ni mgombea dhaifu??
The guy has it all.
Elimu? Hakuna anayejali elimu ni hapa tu JF ambapo Wengi wetu tumesoma na hatuna kazi. Wapiga kura wengi wanataka mtu anayefanana nao...na Baba Levo ni typical sample ya mtu wa kawaida wa mtaani....
Upinzani ni mkubwa lakini kwasababu Zitto ana uzoefu.
hujui ulisemalo Zitto ana ushindani mkubwa sana kwa Levo...levo ashakuwa diwani pale kigoma mjini so usimchukulie poaImekaa kimtego sana hii. Amewekwa mgombea dhaifu ili Mh. Zitto alipwe fadhila. Time will tell.
Ni sawa na sasa nikatae Tundu Lissu hana uzoefu wa siasa kisa siamini anachosimamia.Zitto ana uzoefu wa nini
Kuwa dabo ajenti au nini ?
Mine was a question broo.Ni sawa na sasa nikatae Tundu Lissu hana uzoefu wa siasa kisa siamini anachosimamia.
Zitto ana experience kubwa kwenye siasa za Kigoma.Mine was a question broo.
Baba levo anasubiria kuapishwa maana NIDA zenu zishatumika tayariNaomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.
GotchaZitto ana experience kubwa kwenye siasa za Kigoma.
Sidhani kama hili linahitaji kujadiliana.
Him being a CCM B or F.... doesn't take away his extensive experience.....
Imekaa kimtego sana hii. Amewekwa mgombea dhaifu ili Mh. Zitto alipwe fadhila. Time will tell.
CV ya Zitto Kabwe haiwezi kulingana na ya Baba Levo. Wakati mnasema Baba Levo alikuwa diwani, Zitto alikuwa ni Mbunge hapo hapo Kigoma Mjini.hujui ulisemalo Zitto ana ushindani mkubwa sana kwa Levo...levo ashakuwa diwani pale kigoma mjini so usimchukulie poa
CV ya Zitto Kabwe haiwezi kulingana na ya Baba Levo. Wakati mnasema Baba Levo alikuwa diwani, Zitto alikuwa ni Mbunge hapo hapo Kigoma Mjini.
Naomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.
Baba leo ni Sadaka ya Wale jamaZitto ana experience kubwa kwenye siasa za Kigoma.
Sidhani kama hili linahitaji kujadiliana.
Him being a CCM B or F.... doesn't take away his extensive experience.....