idiomer Member Joined Aug 15, 2012 Posts 95 Reaction score 56 Feb 11, 2026 #1 Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI. PIA RIBA YA 17% NI KUBWA NA V.A.T JUU. Hii si sawa.
Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI. PIA RIBA YA 17% NI KUBWA NA V.A.T JUU. Hii si sawa.