Baba kususa kuhudhuria harusi ya mwanae

Baba kususa kuhudhuria harusi ya mwanae

Wana ya kwao, si ajbu wala. Ni kumpotezea tu huyo baba.

ujui unachosema wazaz ni miungu wanaweza kukulaani au kukubariki kumbuka yakobo,ruben so baraka za mzaz muhimu na ni amri ya Mungu atakama ajafika basi atoe baraka zake kama ajafika lizima ujue reason uombe radhi unless unaweza pata laana
 
eti laana hiv unajua kuna wazazi wengine wana visirani tu. Na kama hujui laana hutoka kwa Mungu na wala si mzazi. Yaani mzazi hatimiz wajibu wake unasema atakupa laana??
 
aisee kama ni mimi labda niwe mimi ndio nimekosea mahali nikaomba radhi na labda kwa namna moja au nyingine yeye bado hajaridhika ndio itanisumbua akili lakini kama ni ukorofi wa mdingi ataisoma namba. Hata simu sipigi.
 
ujui unachosema wazaz ni miungu wanaweza kukulaani au kukubariki kumbuka yakobo,ruben so baraka za mzaz muhimu na ni amri ya Mungu atakama ajafika basi atoe baraka zake kama ajafika lizima ujue reason uombe radhi unless unaweza pata laana
Wewe laana ipi? Wazee wengine hawasomeki na wana mambo ya ajabu sana. Uungu wa pili wa mzazi unategemea na yeye pia anaishi vipi na wanawe. Hivi kama mzazi mlevi, mzinzi, hatunzi familia, akirudi home kazi yake kupiga mama na watoto. Huyu ukimpotezea utaachiwa laana??!!! Acheni uoga usio na msingi wazazi ni binadamu na saa nyingine wanakosea.

We unaongelea laana halafu unatoa mfano wa Yakobo. Hvi kuna mtu wa kulingana na Yakobo zama hizi??
 
Wakati mwingine wazazi wanapitiliza, kazi yao kubwa ni kulea na kushauri unapokuwa mkubwa na wala si kukufanyia maamuzi.mara nyingi usipokubali matakwa yao hasa wanapokuchagulia mweza, wanafanyaga vituko kama hivyo.
Mi kwenye harusi yangu hakuja baba wala mama mkwe na ndugu wa tumbo moja na mume wangu, na laana kibao!
Ndoa ina miaka 19 sasa
 
Itakua hakumnunulia suti mpya na viatu ndio mana kasusa huyo
 
Hahaha, umenichekesha na ukweli huu. Usiombe mzee iwe alikuwa mtu wa show off, anagharamia harusi za wanae bila kutegemea michango. Halafu anakuja harusi ya mwanae kwa suti ya kununuliwa. Utajuta!
kwani baba na mama bado wanaishi kama mke na mume (hawajatalikiana)? au mzee kafulia maana wazee nao wakishafulia wanakuwa na visirani vya ajabu ajabu yaani wanazusha vitu vya ajabu ajabu tu na kususa
 
ingawa sisi wengine huwa tuko kimya si kwamba tunaishi dunia ya peke yetu, hata mimi kuna harusi mwaka huu sintochanga na sitoshiriki kwa lolote? kwa wale wanaojuwa nahusika vipi watabaki na maswali bila majibu, ila ndio hivyo tena kuna point of no return na kuna beef kubwa ambalo mtu mwingine hulijui.
 
Wajameni Jumamosi nilihudhuria harusi ya rafiki yangu pale KIRAMUU Hall, Mbezi sasa kabla bwana harusi hajaingia ukumbini nilimsikia akihaha kumpigia simu Baba yake (Baba Mzazi) ambae anaishi hapo Mbezi Tangi Bovu ambae alikataa uja kanisani pia ukumbini, bwana ilibidi baada ya kutoka kanisani apitie nyumban kucheck kulikon baba hajaja kanisani akamkuta mzee anaangalia TV comfortably kama hakuna kilichotokea.

Pamoja na kumsihi bado mzee hakutokea.

Hii ni sawa wajameni.

Au ndo ukauzu

Nahisi huyo baba alichepuka na mchumba wa mwanae sasa anaona aibu anajifanya kuzuga, kina baba nao......!!!
 
Hehehe, kuna cousin zangu watatu, mmoja alikuwa anaoa na wadada wawili wanaolewa. In a span of a year. Nikakataa kuchanga. Kakangu akataka kunitolea mchango wa mmoja, nikamuambia sio kuwa sina hela ya kuchanga bali sitaki! Ukinitolea unanikosea heshima. Mtu ambae hashirikiani na yeyote, unahangaika nae wa nini?
ingawa sisi wengine huwa tuko kimya si kwamba tunaishi dunia ya peke yetu, hata mimi kuna harusi mwaka huu sintochanga na sitoshiriki kwa lolote? kwa wale wanaojuwa nahusika vipi watabaki na maswali bila majibu, ila ndio hivyo tena kuna point of no return na kuna beef kubwa ambalo mtu mwingine hulijui.
 
Hehehe, kuna cousin zangu watatu, mmoja alikuwa anaoa na wadada wawili wanaolewa. In a span of a year. Nikakataa kuchanga. Kakangu akataka kunitolea mchango wa mmoja, nikamuambia sio kuwa sina hela ya kuchanga bali sitaki! Ukinitolea unanikosea heshima. Mtu ambae hashirikiani na yeyote, unahangaika nae wa nini?

my sister hili la kwangu ni more than that, sijawahi kuishi maisha ya beef ila nafundishwa kwa mara ya kwanza.

kuna vitu havivumiliki ila tu kwa sababu mambo yetu serious wengine huwa tunabaki nayo moyoni hatuyaleti hapa kwa sababu hakuna wa kuelewa chanzo cha haya yote, nasikitika sana nafundishwa roho mbaya ambayo muhusika/wahusika haitawahathiri bali innocent people ndio watakuwa wahanga wa hili.
 
kwani baba na mama bado wanaishi kama mke na mume (hawajatalikiana)? au mzee kafulia maana wazee nao wakishafulia wanakuwa na visirani vya ajabu ajabu yaani wanazusha vitu vya ajabu ajabu tu na kususa
Umeongea point, wazee wengi wakifulia ni matatizo wanataka wanyenyekewe sana, unakuta unaelewa Hana hela una jitahid kutomsumbua NA kuhangaika mwenyewe Mara nyingine had nauli ili aje bado hataki eti alitaka alipiwe ndege kisa wewe umepanda ndege, wajirekebishe NA wasipangie hela za watoto matumiz kama zao, kwa mnasomesha watoto ili mje kulipwa au ni responsibility yako?
 
Hehehe, kuna cousin zangu watatu, mmoja alikuwa anaoa na wadada wawili wanaolewa. In a span of a year. Nikakataa kuchanga. Kakangu akataka kunitolea mchango wa mmoja, nikamuambia sio kuwa sina hela ya kuchanga bali sitaki! Ukinitolea unanikosea heshima. Mtu ambae hashirikiani na yeyote, unahangaika nae wa nini?

Hukuchanga sababu wenyewe hawatoi ushirikiano/ hawakuchangia kwenye harusiyako au ni kwasababu ulichoka na michango?
 
Wakati mwingine wazazi wanapitiliza, kazi yao kubwa ni kulea na kushauri unapokuwa mkubwa na wala si kukufanyia maamuzi.mara nyingi usipokubali matakwa yao hasa wanapokuchagulia mweza, wanafanyaga vituko kama hivyo.
Mi kwenye harusi yangu hakuja baba wala mama mkwe na ndugu wa tumbo moja na mume wangu, na laana kibao!
Ndoa ina miaka 19 sasa
congrats for your decision, laana Kama sio kosa la kweli haufiki kabisaa,
 
Hii dunia ya wazee kitwa BABY labda huyo msichana alo olewa walisha itana BABY na huyo mzee so mzee anaona soo na kutafuta sababu ili asifike harusini kwa BABY wake anaolewa na mwanae
 
Hawa watoto wa siki hizi wanazarau sana ingawa hujatuambia upande wa pili bt lazma kunatatizo hamna mzazi anaeweza fanya hivyo bila sababu mfano halisi uliwahi tokea mwaka jana ktk familia yangu na mtoto ndio alikuwa na tatizo na kumzarau baba yake kupindukia na hamna ndugu yoyote upande wake aliefika wote walisusa kuungana na baba yake bt ndoa ilifungwa akatafutwa baba bandia hata mchungaji hakujua ukumbini ndio aibuuu na alijutia sana badae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom