Wapi nimezungumzia utupu?Kuchungulia utupu wa mzazi wako au mtu aliyelala na mzazi wako ni kujitafutia laana.
Hivyo acha kumpotosha kijana wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo hata sasaAkifanya hivyo moja kwa moja atakua amevunja ndoa ya wazazi hapo atakua amezalisha tatizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asi thubutu kumuonesha picha mama yake asije akamuua na presha buree....( Za kuambiwa changanya na zako)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umehitimu chuo kikuu na bado uko nyumbani. Hama sasa maana mzee wako anazidi kukukosea.mama amepambana mpaka nimalize chuo kikuu lazima mzee azime
Unajuaje mama yako kaenda kuangalia ndugu? Uenda kaenda kudanga na michepuko kibao ndo maana na dingi anaona isiwe shida. Unaweza kuta huwa anamnyima! Wee mtoto kua uondoke hapo home kajitegemee! Acha kuchunguza maisha ya baabako!wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Hapo nimekusoma! Sasa Unasubiri nini? Fanya fasta na wewe uende jela maisha au unyongwe mkakutane kuzimu mlianzishe mbele ya shetanintamuua walah inaniuma
Muulize kimtego mama yako kama he Mzee ni mchepukaji? Alisema ndio, mtahadharishe asije kuuliwa kwa umalaya wa baba.wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Muulize kimtego mama yako kama he Mzee ni mchepukaji? Alisema ndio, mtahadharishe asije kuuliwa kwa umalaya wa baba.wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
ultaka awe anakukamua wewewakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Kha! Wacha ufala wewe, unamuonea wivu baba yako?wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Wacha ujingaBaba kama huyu asiye na staha kwa watoto wake hafai kabisa. Maadili hana Mzazi huyu kabisa. Mijitu kama hii sijui ni kwa nini isigongwe gari tu ikafia mbali. Mpaka kijana amekuja hapa jamvini maana yake imemgusa na kisaikolojia ni mbaya mno.