Baba kalogwa na Mama wa Kambo, nifanye nini?

Baba kalogwa na Mama wa Kambo, nifanye nini?

Hamna Cha adui wa mwanamke ni mwanamke hapo hivi unawezaje kupenda vitu viwili sawa hyo kitu ni impossible kabisa na nyie dini nyingine simnaryhusiwa kuoa wake wanne ili mupate thawabu na huwa nabisha hyo kitu mnasema mwanaume hupenda wake wengi ndio madhara hayo. Pia Mimi mwanaume akinitenda akafie mbele huko nitapambana na wanangu
Nilikuwa nasubir comment yko maana hutakag kumung'unya maneno
 
Bro nashindwa nikushauri vp lakin leo ndo nmejua kuna siri nzito nyuma ya keybord za watu huku JF yani kitu unachosimulia kimenikuta hata mm sema mambo machache tunatofautiana kweny hii stor. Me kitu nilichoamua nimemuacha mzee tu aishi maisha yake basi lakin kitu ambacho nilijifunza ni kwamba Adui wa mwanamke ni mwanake mwenzake coz ajui watoto wake nao wanaweza olewa afu wakafanyiwa hayo hayo kama anavofanya kwa mama ako nao wakatelekezwa... Bro we cha kufanya usimuudh baba yako ukaja ukakosa hata vichache unavopata kwake kua mpole tu ishi maisha yako lakin at the end Fungu lako liko pale pale kama Mungu hajakuandikia kupata vinono kwa baba yako kubaliana nalo basi [emoji1316][emoji1316]

My Humble opinion .. coz hata mm nshafikiria sana lakin sikuona haja ya kuleta mada yangu huku nikakaakimya lakin leo nmegundua kunasiri nzito sana kwenye keybord za watu
Nakubaliana na ww 100 % lkn hii nadharia ya Mungu kakuwekea fungu fulan au hajakuwekea ondoa akilin mwako nasema hv kwa sababu kuna kipind nili hustle sn kuna dili nilizifanya na zili hit hii ni baada ya kuumiza kichwa sn

Kuna kipind nilikuwa muongo yaan ata shetan mwenyewe nahis alikaa pemben maana niliivuka ile mipaka nikamzungusha mding nikaja nikamtia lock akawa hana namna na mshiko akatoa nikagunduq kuna haja ya kuhustle ili kupata rizik mungu hawez kukuletea fungu au rizik mlango never sahau hilo fight day & night kila kitu kinakuwa ok
 
Nimevumilia kusoma hadi hapo kwenye matibabu Ujerumani mara India, itoshe tu kusema nampongeza Mzee wako kwa kuwa na wake wengi.

Simlaumu mama yako, ila Mzee wako anajua sababu za kuoa mke mdogo.
Sasa ukioa mke mdogo ndio utelekeze hadi watoto wako!
 
Chanzo cha yote hayo ni baba yenu.

Pambana kusaka pesa achana na mambo ya kumtegemea baba yenu Mungu atakuwa upande wenu.
 
Pambana kijana uokoe jahazi..achana na mambo ya mshua wako..muda utafika Kama dawa zita-expire tu.
Kweli kabisa...lakini ziki expire zina leta madhara kwa familia yote...!

hakuna jipya chini ya jua..
 
Chanzo cha yote hayo ni baba yenu.

Pambana kusaka pesa achana na mambo ya kumtegemea baba yenu Mungu atakuwa upande wenu.

Yaani amdharau baba yake halafu Mungu awe upande wake!!
 
Uchawi haujawahigi kumwacha mtu salama! Yaani mtu karogwa, unataka akarogwe yena!?? You can never solve problems in the same way you created them! Hii janga inahitaji supernatural intervention kutoka kwa Mungu. Period! Habari zinginezo ni utoto mwingi na ujinga kupindukia. If you don't believe in God, it is time now to start your journey of faith. Imagine even the devils believe in God and tremble, but humans don't! Pathetic! Jifunze kuomba mwenyewe. Washirikishe prayer warriors. Washirikishe maaskofu, mashemasi, nk. Total deliverance is just a prayer away!

Kwanza nikupongeze kwa kutoa maoni yako binafsi maana katiba ya nchi inaruhusu kufanya hivyo.

Itoshe kusema kabla ya ujio wa wazungu katika Ardhi hii tukufu ya Afrika tulikuwa na mfumo wetu wa maisha na ulileta tija sana katika maisha yetu ya kila siku .

Hivyo tusijisahau sana .
 
Kwanza nikupongeze kwa kutoa maoni yako binafsi maana katiba ya nchi inaruhusu kufanya hivyo.

Itoshe kusema kabla ya ujio wa wazungu katika Ardhi hii tukufu ya Afrika tulikuwa na mfumo wetu wa maisha na ulileta tija sana katika maisha yetu ya kila siku .

Hivyo tusijisahau sana .
Huu "mfumo wetu wa maisha ulioleta tija" ndio kitu gani?
 
Huyo mmoja kamkonga moyo wake na ni soulmate tofauti na hao wengine hajawapenda na unaambiwa upendo haugawanyiki
Utakua wewe ni mchepuko,japo mengine umesema ya kweli.
 
Pambana kijana uokoe jahazi..achana na mambo ya mshua wako..muda utafika Kama dawa zita-expire tu.
Well said,aachane na mzee apambane atafute vyake,amlee mama.Wala asiwaze hata urithi atateseka bure,akili yake iwe kama alizaliwa kwenye familia maskini,au assume ni yatima,apambane atoboe,kuhusu baba yake amwache afanye yake,asijitafutie matatizo...life definition
 
Utakua wewe ni mchepuko,japo mengine umesema ya kweli.
Sio mchepuko Ila nitasema kweli daima, moyo huwezi kupenda vitu viwili kwa wakati mmoja upendo ukawa sawa lazima Kuna mmoja upendo utazidi
 
Back
Top Bottom