Baba kalogwa na Mama wa Kambo, nifanye nini?

Yani dhambi ya mtu mmoja ina cost watu ambao hawausiki kabisa.. Kaka kama hapo stareh ya baba inawacost watot wa mke mkubwa afu hyo anasema Love is blind we tusubir aolewe afu yey ndo awe mke mkubwa yamtokee haya ndo ataamin adui wa mwanamke ni mwanamke
Hamna Cha adui wa mwanamke ni mwanamke hapo hivi unawezaje kupenda vitu viwili sawa hyo kitu ni impossible kabisa na nyie dini nyingine simnaryhusiwa kuoa wake wanne ili mupate thawabu na huwa nabisha hyo kitu mnasema mwanaume hupenda wake wengi ndio madhara hayo. Pia Mimi mwanaume akinitenda akafie mbele huko nitapambana na wanangu
 
Na huwezi jua huyo mkubwa wanapishana nini, mapenzi yaache tu, mtu anaweza sema limbwata kumbe mapenzi, mie nishashuhudia watu wanalalamika kapewa limbwata kumbe sio!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hata Kama ni mapenzi.. huyo mdogo ana kaushetani.

Kama mzee Kanunua nguo.. kazifikisha na kazigawa tayari.. ikawaje akazing'ang'ania!?

Kwani ukipendwa na ukahudumiwa na wale wakahudumiwa kinaharibika nini!?

Huyo mama atakuwa anatumia nguvu ya pendo kufanya mambo mabaya na huo ndio ushirikina wenyewe.
 
Lia na mama yako hakujua kumlea vizuri mzee. Hakuna limbwata wala kurogwa
Ukishamzalisha mtu na haumtaki..tena unatoa talaka.. sio unaona mke wa pili. Mosi.

Pili ukizaa hudumia.. nyie mnatetea ushirikina na roho za kwanini.

Wapo wameoa na wana mababy mama.. ambao wanapokea kila kitu kutoka kwa mke wa ndoa.. ada ya mtoto,matibabu na mavazi plus chakula.. ingekuwa kila sehemu ni kama huyo mama.. mbona tungejuta.

Huyo mama kama sio mchawi tayari..atagraduate kwenye uchawi soon.
 
Hata Kama ni mapenzi.. huyo mdogo ana kaushetani.

Kama mzee Kanunua nguo.. kazifikisha na kazigawa tayari.. ikawaje akazing'ang'ania!?

Kwani ukipendwa na ukahudumiwa na wale wakahudumiwa kinaharibika nini!?

Huyo mama atakuwa anatumia nguvu ya pendo kufanya mambo mabaya na huo ndio ushirikina wenyewe.
Siyo "nguvu ya upendo;" huo ni UCHAWI. Simple & clear. Usikute mumewe hampendi in reality, ila sasa hana nguvu ya kiakili ya kutompenda na kudhibiti ukichaa wake. Kwa hiki kidogo ambacho kimesimuliwa, ni wazi she is beyond (more rightly, below) sensible and sane human.
 
Wahenga wanasema "Ukipenda Boga.. penda na Ua lake.."

How can one claim to love their kids beyond measures ...and hate the very people who seeded them!?

Recently kumekuwa na hii dhana if you are married you can't love another.. especially for women.. pathetic.. we (men) love, they(women) gets attracted and loves too..

What makes us responsible humans is the ability to or not to act to our every quest! Mzee kalogwa... Na washirikina au wachawi ni wengi mno ... especially now.

Mtu yeyote mmimi kupindukia.. ambaye anadhani upendo ni Kuhodhi na kumiliki ni mchawi tayari na kuangukia kwenye ndumba ni kama kumsukuma mlevi.
 
The principle of one wife for one husband is always the best. Mwanaume yeyote akikiuka kanuni hii lazima maisha yamwangie tu ile mbaya. If women were told beforehand that their prospective husbands would marry another wife in the course of their relationship, very few would accept to form such marital unions.
 
The principle of one wife for one husband is always the best. Mwanaume yeyote akikiuka kanuni hii lazima maisha yamwangie tu ile mbaya. If women were told beforehand that their prospective husbands would marry another wife in the course of their relationship, very few would accept to form those marital unions.
The issue is we marry for all the wrong reasons! People are not genuine.. not anymore.

What we see during dating is often contradicted with what you find in the marriage.. pair that with stubborn-ness of both parties, unwilling to change and adjust.. you got yourself a recipe for failing marriage from the start.

Kitu ninachojua.. hata kama you guys didn't see eye to aye.. na on good terms decide to go separate ways.. there shouldn't be grudges in between you two... Especially the kind that will hurt kids.

If we didn't work.. I would not be able to make you happy and certainly i won't be happy.. letting you find that happiness in someone else or alone is the most logical and loving thing to do.. and receive; for that matter.

#Utopia
 
Marrying another wife hakuondoi tatizo bali unalizidisha; wala siyo mlango wa kutokea hata kidogo. Wengi wanajuta wakiwa wamechelewa. By the way, sababu kubwa ya polygamy ni tamaa na ufahari.
 
The principle of one wife for one husband is always the best. Mwanaume yeyote akikiuka kanuni hii lazima maisha yamwangie tu ile mbaya. If women were told beforehand that their prospective husbands would marry another wife in the course of their relationship, very few would accept to form such marital unions.
One husband one wife huwa Ina work shida umalaya na watu kutokutulia, matokeo watoto wanaathirika vile mtu una shindwa ku balance
 
Marrying another wife hakuondoi tatizo bali unalizidisha; wala siyo mlango wa kutokea hata kidogo. Wengi wanajuta wakiwa wamechelewa. By the way, sababu kubwa ya polygamy ni tamaa na ufahari.
Sizungumzii ndoa za wake wengi.. Nazungumzia uhalisia wa maisha.. ndoa hazijaanza kushindikana 2010.. its been like that from the begining of times.

If that(marriages not working) was to happen; how it should be dealt with. Sadly this generation haijafunza kupokea negative outcome... Like the world is all beautiful and colorful. Ubaya ni kuwa dunia haiko hivyo.

Lazima tujue some marriages will work, some won't.. some will find love some won't... Some will be happy sucking it.. some won't and will rebel.. it's nature of the world. Sasa kama mtu hafurahii ndoa unataka akae hapo anafanya nini!? Wasting their lives to.fulfil others!?

Regrets! Of course it's natural.. we have read of many who lived kinda long in marriages not happy.... they lived to regret not marrying that other lady/man.. or not quitting.. every body regrets about something or someone in relationships you and me we will have some regrets towards the very end.. it's normal.
 
Sizungumzii ndoa za wake wengi.. Nazungumzia uhalisia wa maisha.. ndoa hazijaanza kushindikana 2010.. its been like that from the begining of times.

If that(marriages not working) was to happen; how it should be dealt with. Sadly this generation haijafunza kupokea negative outcome... Like the world is all beautiful and colorful. Ubaya ni kuwa dunia haiko hivyo.

Lazima tujue some marriages will work, some won't.. some will find love some won't... Some will be happy sucking it.. some won't and will rebel.. it's nature of the world. Sasa kama mtu hafurahii ndoa unataka akae hapo anafanya nini!? Wasting their lives to.fulfil others!?

Regreats of course.. we have read of many who lived kinda long in marriages not happy.. they lived to regret not marrying that other lady/man.. or not quitting.. every body regrets about something or someone in relationships.
Maelezo mengi ya bure tu. Ndoa ni vile mnavyoitengeneza -- both of you (husband and wife) can make it work. Period! Zingine zote ni stori tu za urazinishaji na udhuru.
 
So basically unachosema for the Laws (Secular and Devine) to consider divorce walikuwa wapuuzi... Because men and women are so capable of making it work no matter what!?

Kama hiki ndicho unachomaanisha.. then Be safe and Good day!
 
Back
Top Bottom