CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
Baba Farzana, mpangaji mwenzangu hapa Mw'nyamala kwa mama Zakaria.
Mimi na wewe tunaelewana vizuri sana. Wewe ni mwenyeji wangu kwa sababu nimekukuta hapa tayari una miaka mitatu.
Mie ndio naanza maisha, niko bachelor, sina mke wala demu naeishi nae humu getto.
Huyu mkeo ni rafiki yangu mzuri tu...
Huwa ananiazima pesa akisema kuwa ukirudi kutoka kazini atakuomba umpe ili anirudishie.
Cha ajabu zingine huwa anazipiga kapuni hanilipi na mie kutokana na ujirani mwema nashindwa kumdai.
Mfano jtatu ileeee alisema eti nimwazime 30,000.
Kwamba ukirudi atakuomba hela ili anirudishie.
Nikampa pesa. Juzi anakuja kunirudishia 20,000 tu. Maana yake amebana msimbazi namie kwa aibu na huu ujirani nashindwa kumwambia "mbona hela haijatimia??"
Achana na mambo ya pesa (usinikumbushe ndugu zangu wanavoniomba sana)
Twende kwenye Key topic:
Baba Farzana, mimi na wewe na familia yako wote ni Waislamu.
Unajua mwezi mtukufu ndio huu tuko mfungo tano leo au sio...
Mkeo anapenda kula daku saa tano usiku kabla hajalala.
Wakati huo wewe bado hujarudi kutoka kazini (unarudigi saa saba usiku)
Mie nina jiko la gas. Lile dogo tu la kilo 6 (mtungi mdogo)
Mama Farzana ashaweka desturi sasa muda wa daku lazima aje getto kwangu kuchemsha mboga, ama chai. Anasema kuanza kuwasha jiko la mkaa mpaka likolee usumbufu.
Akija namuwashia jiko, wakati anasubiri mboga ichemke anakuja kwenye kiti ananikalia kwa mbele hivi. Wakati mwingine ananiambia nimsaidie kusonga ugali eti mie ugali wangu ni mtamu sana. Nikiwa nasonga anakuja ananishikashika kwenye mabega na kifuani.
Jana nikasema ngoja nimtest.
Wakati amekuja kupasha maziwa kama kawaida akaja kwenye kochi nilipokaa akajisogeza hivi.
Nikamvuta, naona mtu ana respond tuu, Nampapasa kwa shingo, mdomoni, kiunoni mpaka nikamvuta mdomo ili nimle mate anakuja tuu.... Yarabiiiiiiiii!!!
Nikaona kumbe huyu mama hayuko serious.
Hivi hajui kuwa tuko mwezi mtukufu jamani. Mke wa mtu huyu.
ikabidi nijiongeze tu, nikamwachia maana maziwa jikoni yalikua yanaanza kumwagikia.
Sasa Baba Farzana nakuomba kitu kimoja tuu...
Jitahidi ujibane bane mnunulie mkeo kajiko kadogo ka gesi, apunguze kama sio kuacha kuja humu kwangu.... Kumbuka namie ni mwanaume bana. Nina hisia, matamanio. Sitaki kuwa mume mwenzio bana.
Mama mwenyewe mtu mzima. Binti yake nilitaka kumgonga akachomoa.
Halafu mwambie aje achukue sufuria lake la ugali alilisahau juzi alivomaliza kusonga ugali.