shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 333
- 565
uaskofu unadhalilishwa sana nyakati hizi, hauna thamani tena dah π'TIKITAKA' ZA DANGOTE AKIELEKEA KENYA!
Unamtambulisha msichana hadharani kuwa ni Bibi Arusi wako mtarajiwa kumbe hujafika hata kwa wazazi wake kujitambulisha! Sasa kaamua kuolewa na 'Mnyilemi Kindamba' wa Uchindile anadai wewe ni 'Kapufi Mwanansao' ambaye ni Mfipa wa Kirando hujui hata kuvua hao samaki!
Dangote naye anatangaza huko kuwa anafikiria kuwekeza kiwanda cha kusafisha mafuta huko Mombasa ambayo ina kina kirefu kuliko Tanga ambayo kina chake ni kifupi hakifai hata kupaki ngalawa au 'boti' za Mpiji!
Ninyi badala ya kujadili dili za nguvu na Kipruto, mkawa mnampenyezea Malkia Nzinga Mbande ili aanze kuwacharaza mijeledi akina 'ntukwe'!
Muiteni Muhehe wa Kiponzelo aje kukanusha hiyo 'ntiiti' maana ni bingwa wa kukanusha!
Badala ya kuajiri watu wenye uelewa na weledi katika timu za majadiliano ya kiuchumi lakini ninyi mnawajaza machawa wa kumsifia Malkia! Mijadala ya kiuchumi ni vita inayopiganwa na watu wenye fikra, siyo sehemu ya kuwapa ulaji machawa waliosaidia kupora uchaguzi wetu!
Kama hao washauri wenu wameshiriki 'mwili na damu' ya Yesu leo, watakuwa na ufahamu wa kujua hiki anachokiongea askofu hapa! Ila mimi naendelea kusoma komenti za kuniwishi Birthday baada ya watu 'Mbudya' kushindwa kunipulizia 'spray mwaka jana! Mimi sio Lema!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 10 Mei 2026; Saa 6:50 mchana
uaskofu unadhalilishwa sana nyakati hizi, hauna thamani tena dah π
Kaka/dada huoni aibu?uaskofu unadhalilishwa sana nyakati hizi, hauna thamani tena dah π
Fumbua macho ndugu yawezakuwa uummoja wa chawa waliolipeperusha dili letu.uaskofu unadhalilishwa sana nyakati hizi, hauna thamani tena dah π
Wakat nipo form 3 kuna Ile point ya role played by African church unadhan role Yao ilikuwa nn wakat wa kudai uhuru?uaskofu unadhalilishwa sana nyakati hizi, hauna thamani tena dah π
Kwa akili yako ya kisoda huwezi kumwelewa PhD holder.uaskofu unadhalilishwa sana nyakati hizi, hauna thamani tena dah π
kwamba huyo askofu kibaka ndio PhD holder?π€£Kwa akili yako ya kisoda huwezi kumwelewa PhD holder.
"... ninyi badala ya kujadili dili za nguvu na Kipruto, mkawa mnampenyezea Malkia Nzinga Mbande ili aanze kuwacharaza mijeledi akina 'ntukwe'!"
yaani huyo askofu chokoraa ndio unawafananisha na hao mapioner wa tawala za kikoloni?Wakat nipo form 3 kuna Ile point ya role played by African church unadhan role Yao ilikuwa nn wakat wa kudai uhuru?
Viongoz wa din hasa akina mshume kiyate sheikh takadir na wengineo ndio walioanzisha chama vya siasa kama AA TAA TANU
Sasa nashangaa nyakat hiz mnasahau na manataka kuwatenga katika mapambana yakisiasa
Anyway nimekurudisha shule kidogo maana huko chama chakavu mnaish kwa kukariri TU
macho yako wazi na huyo ni chokoraa aliejivika uaskofu πFumbua macho ndugu yawezakuwa uummoja wa chawa waliolipeperusha dili letu.
tuliza mihemko nonsense my lady, pls plz πKaka/dada huoni aibu?
lakini sio vema kuudhalilisha uaskofu kihivyo gentleman,Kila mmoja acha apambanie ugali wake kwa aina yake
yaani huyo askofu chokoraa ndio unawafananisha na hao mapioner wa tawala za kikoloni?
acheni kufananisha nonsense na vitu vya maana jamani wafuata mkumbo.
Mnadhalilisha dini za watu kuongozwa na vibaka
lakini sio vema kuudhalilisha uaskofu kihivyo gentleman,
hakuna askofu chokoraa kama huyo π
π πππ€£ππ€ͺπ€ͺMkuu Poleuaskofu unadhalilishwa sana nyakati hizi, hauna thamani tena dah π
Mama yuko busy anaandaa 'cinema zetu' Magereza.π€ͺ'TIKITAKA' ZA DANGOTE AKIELEKEA KENYA!