Baba amenishangaza

Baba amenishangaza

Baba yako yupo sawa kabisa, wanawake siku hizi pasua kichwa sana, ukiwa nao wawili mmoja akizingua unahamia kwingine.
 
Wanaume wa sikuhizi tuna umama sana..
Unataka kurelax ukioa?....
 
Alichoongea mzee wako ni sawa na muda huo huo sio sawa.

Ni sawa kama utapata mwanamke anayependa kushindana na wewe. Asiyekusikiliza. Mwanamke anayependa kugombana gombana. Anayependa maneno maneno.

Mwanamke wa hivi unapaswa umtafutie Mwenzake kusudi apate wa kugombana naye. Apate wa kutoleana naye maneno. Hapa lazima atahitaji uwe upande wake hivyo atafanya juu chini umpende. Yale maneno ya shombo atampelekea mke mwenza huko.

Sio sawa ikiwa utakuwa umepata mke mwema kutoka Kwa Mungu. Hii ni kwa sababu atakuwa anakuheshimu, kukusikiliza. Atajua majukumu yake. Hatagombana wala kukutupia maneno kwa kuwa anaadabu.

Hivyo angalia na mwanamke wa kumfanyia hayo.

kumbuka;
Usioe Mwanamke Masikini
Usioe mwanamke asiye na bikra.

Ahsante sana
 
Ni sawa kabisa sema kuna timu itashindwa hapo na kubeba daluga,
kisha unabaki na hii timu kali sana na ww unabeba daluga mechi droo ngoma.😁
 
Wanaume wa sikuhizi tuna umama sana..
Unataka kurelax ukioa?....
Unatakiwa ufurahie maisha, na sio kurelax usifanye kazi... Ndoa ni sehemu ya maisha yako kama kijana ni wajibu wa mke wako kuhakikisha upo nazifu kila siku na mwenye furaha... Nani wajibu wako kama men kuhakikisha familia unaudumia ili kuleta furaha... Jaribu kumuelewa mleta mada!!! Na Wanaume hatuna umama jiangalie mienendo yako then jipime kuwa wewe ni Mama au Baba
 
Unamaanisha baba yake ni mvulana aliyekuwa mpumbavu na akazeeka na upumbavu wake?

Sio kila mwenye mvi ana hekima wengine wamezeeka kutokea katika u bitch boy au kusaga lumba
Kwahiyo yawezekana baba yake ni miongoni mwa hao
 
Alichoongea mzee wako ni sawa na muda huo huo sio sawa.

Ni sawa kama utapata mwanamke anayependa kushindana na wewe. Asiyekusikiliza. Mwanamke anayependa kugombana gombana. Anayependa maneno maneno.

Mwanamke wa hivi unapaswa umtafutie Mwenzake kusudi apate wa kugombana naye. Apate wa kutoleana naye maneno. Hapa lazima atahitaji uwe upande wake hivyo atafanya juu chini umpende. Yale maneno ya shombo atampelekea mke mwenza huko.

Sio sawa ikiwa utakuwa umepata mke mwema kutoka Kwa Mungu. Hii ni kwa sababu atakuwa anakuheshimu, kukusikiliza. Atajua majukumu yake. Hatagombana wala kukutupia maneno kwa kuwa anaadabu.

Hivyo angalia na mwanamke wa kumfanyia hayo.

kumbuka;
Usioe Mwanamke Masikini
Usioe mwanamke asiye na bikra.

Ahsante sana
Joka jeusi, wewe ni mtaalam wa mambo ya ndoa na mahusiano?
 
Back
Top Bottom