Baadhi ya Watanzania wanashangaza sana

Baadhi ya Watanzania wanashangaza sana

Kugusia mchakato wa katiba mpya awamu hii hlo swala ni kama halipo na cjajua kuna siri gani nyuma ya hii delay
mkuu hakuna delay yoyote kila jambo na wakati wake , wakati huu kazi ni kujenga nchi hasa miundombinu mikubwa kama SGR, Stiegler , Roads , Dreamliners na Bombadier etc basi hizi michakato za katiba si muhimu sana, wakati wake bado ni vyema tusubiri the Reign of Utopian Ufipa government turelax tutengeneze katiba mpya chini ya DJ!!
 
Usitudanganye wewe Ccm huwa inawakilisha aina flan ya watu walio kata tamaa kama ilivyo wewe na mawazo ya kizee zee
Ila vyama safi kamaa Act vina fikra ya ukombozi
Hahaha ACT Ina fikra ya ukombozi upi jomba, act hiki chenye mbunge mmoja..hizo fikra mbona hazijaweza washawishi wananchi wawape wabunge wengi Sasa au kuongoza dola..act hikihiki Cha Hawa wad......hiki..hivi Kuna chama chenye Sera zilizosimama Kama ccm..kwanza hivi vingine sio vyama vya siasa, ni Sacco's tu..vyama vya kuweka na kukopa, tunajua...acheni upunguwani
 
Wakati ndo huu wa kujenga nchi hasa miundombinu mikubwa kama SGR, Stiegler , Roads , Dreamliners na Bombadier etc basi hizi michakato za katiba si muhimu sana, ni vyema tusubiri Ufipa government tutengeneze katiba chini ya DJ!!
Hahahah DJ government..what a shame....mtalaaniwa na corona nyinyi..
 
Mkuu kulikuwa na rasimu ya Warioba, wananchi walitoa maoni yao, lakini ccm kwa wingi wao wakachakachua maoni ya wananchi. Basi haidhuru hiyo rasimu ilichakachuliwa, kulikuwa na katiba pendekezwa iliyokuwa imefikia hatua ya kura za maoni, lakini hata hiyo Magufuli aliikataa. Sasa naona unamkubali mtu asiyetaka katiba bora, bali anataka hii hii ili ubovu uendelee. Kwa maneno marahisi unataka CCM iendelee kukaa madarakani, maana unadhani wengine wote watakaokuja watakuwa kama hawa CCM uliowazoea.
Ccm si inakaa madarakani kwa maamuzi ya wananchi. Kwani yenyewe inajiweka au inajichagua..sielewi andiko lako jomba
 
Wewe ni jinga kweli.......utawala ni mfumo. Mfumo wa ccm ulishashindwa kabisa kutumia raslimali lukuki tulizonazo kuwapa neema watz na awamu hii ndo imeharibu kabisa nchi yetu nzuri.............
 
Hahaha ACT Ina fikra ya ukombozi upi jomba, act hiki chenye mbunge mmoja..hizo fikra mbona hazijaweza washawishi wananchi wawape wabunge wengi Sasa au kuongoza dola..act hikihiki Cha Hawa wad......hiki..hivi Kuna chama chenye Sera zilizosimama Kama ccm..kwanza hivi vingine sio vyama vya siasa, ni Sacco's tu..vyama vya kuweka na kukopa, tunajua...acheni upunguwani
Kufikia june wote Tz tutakuwa tumemchoka huyu magufuli
 
Wasalaam wana JF!

MOLA tuepushe na janga la Corona Amina.

Kuna watu huwa wanasema wakiwataja baadhi ya wanasiasa hususani wapinzani, kwamba watukomboe dhidi ya utawala uliopo wakimaanisha CCM.

Huwa najuliuliza huwa wanamaanisha kitu gani hasa? Kwa kuwa wanaotawala ni Watanzania wenzetu, wenye familia na mfumo wa maisha kawaida kabisa na sisi.

WanaCCM, WanaCHADEMA, wana CUF, ACT na vyama vyote, wote ni Watanzania wenye akili tofauti, imani tofauti, mitazamo tofauti, chama chochote kinachopata nafasi kutuwala kitawatumia watanzania hawahawa katika administration yake.

Hakuna chama kitakuja na brand ya Watanzania tofauti na sisi tuliopo, kitatawala na hawahawa tuliopo.

Wezi watakuwepo, mafisadi watakuwepo, waadilifu watakuwepo pia.

Binafsi sioni chama ambacho mtu atanishawishi kusema eti kitaleta ukumbozi, ni uongo!

USHAURI WANGU:

Ikiwa tutakuwa na KATIBA ambayo itaweka malengo ya Tanzania mbele kwamba chama chochote kitakacho tawala, basi kielekeze katika malengo MAMA.

Tusitegemee ILANI ZA VYAMA pekee, So kama taifa tufikiri katika kuboresha katiba YETU.

Tujiwekee malengo ya muda mrefu kama taifa, KATIBA bora ndio dili kwa mtazamo wangu.

JITAHIDI KUWA MWAMINIFU KWA NAFASI YEYOTE UNAYOPATA KUTUMIKA, SIKU MOJA UTATOA HESABU KWA MUNGU. USILAUMU MTU, WEWE KATIKA NAFASI ULIOPO NI MWAMINIFU KIASI GANI?

KILA MMOJA WETU AKIWA MWAMINIFU TUTALIJENGA TAIFA LETU PAMOJA

Hata hivyo naukubali utendaji wa mh John P. Magufuli.

Ni hayo tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna unalojua zaidi ya kula na kwenda chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufikia june wote Tz tutakuwa tumemchoka huyu magufuli
Mtakuwa mnampenda Nani jomba...tupe alternative sio kutuacha hewani..kwa tabia zenu za dili,wizi, ufisadi, utakatishaji fedha, hewahewa kila sehemu lazima mumchoke kwa sababu hawapi nafasi Tena..kwa miaka 20 ijayo maisha ndio haya..chapa kazi dada, Kama mjini kumekushinda nenda kalime tu..maisha ya dili hayatarudi Tena, yanaisha tartiibu
 
Kwa habari hizi za akina kingwangala na Makonda bado unaamini Magu anapambana na ufisadi?

Na bei ya sukari imemshinda
 
Ccm si inakaa madarakani kwa maamuzi ya wananchi. Kwani yenyewe inajiweka au inajichagua..sielewi andiko lako jomba

Kuchakachua ni kukaa kwa ridhaa ya umma?
 
Matakwa ya wananchi kwa ufaham wako kwa Sasa ni yapi unadhani kuhusu utawala jomba..mnajifanyaga hamnazo nashangaa...huoni hata dalili tu baada ya viongozi na wanachama kadhaa kuhama vyama vyenu na kwenda kuunga mkono JPM..au wewe ni kipofu na kiziwi..huoni hao wanaoondoka wanazungumza Nini juu ya lichama lenu...hahaah...nikwambie Kama maoni ya wananchi yanatokana na hivi, asilimia zaidi ya 90 ya wananchi wapiga kura kwa Sasa wanaunga mkono juhudi za JPM. Upo..Sasa sema hapo mwelekeo ukoje..usijifanye huoni Wala usikii..kama wewe ni kipofu na kiziwi Basi hata maandishi huwezi kusoma, husomi habari n.k..

Kuhama vyama ni jambo la kawaida, na hao wanaohama tunajua wanahama kwa kuhongwa vyeo na fedha taslimu. Unasema unakubalika kisha unatoka na mabox ya kura vituoni, kama sio wendawazimu ni nini?
 
Njoo utuhoji hapa nyumbani
Mimi nimetembea mikoani, na kubahatika kuwahoji watu, nakwambia Magufuli anakubalika kupita unavyofikiri.

Sisi ambao tinatumia mitandao ndio tunajiona tuko wengi, ila kiuhalisia wanaotumia mitandao sio wapiga kura.

Wapiga kura walio wengi wako mikoani ambako mzee Magufuli na CCM wanakubalika.

Tembea uone. You better follow my advice mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lini sasa mtaleta Katiba maana Stigler litaisha 2025?
mkuu hakuna delay yoyote kila jambo na wakati wake , wakati huu kazi ni kujenga nchi hasa miundombinu mikubwa kama SGR, Stiegler , Roads , Dreamliners na Bombadier etc basi hizi michakato za katiba si muhimu sana, wakati wake bado ni vyema tusubiri the Reign of Utopian Ufipa government turelax tutengeneze katiba mpya chini ya DJ!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo kwanini CCM wananajisi uchaguzi chini ya Magufuli ili waendelee kubaki madarakani? Kwanini wasiheshimu matakwa ya wananchi ili wapishe watanzania wengine nao watawale? Hiyo katiba bora kikwazo ni hao ccm, huku Magufuli unayemkubali akiwa kikwazo namba moja wa katiba bora.
Hizi ni propaganda za chadema eti kunajisi uchaguzi Kama Wana najisi uchaguzi mngekuwa na na madiwani mameya wabunge usipende kusema uongo

Sent from Tapatalk
 
Mkuu yeye anatimiza ILANI ya chama cha mapinduzi. Hayo ni maandishi tu.

Laiti tukipata katiba bora kama mataifa ya America, tutaweza kuwa na malengo ya muda mrefu kama taifa, na hata kama chama kingine kikitokea kutawala basi yale malengo MAMA ya katiba yatatuongoza, hatutakuwa na sera tofauti tofauti tena.

Mfano BW Mkapa alikuja na ubinafshaji, JM Kikwete akaja na kilimo kwanza, sasa tuna sera ya VIWANDA.

Hii tunaweza ku avoid tukiwa na malengo MAMA bora ya kwenye katiba, ni mtazamo wangu tu. Na sipo hapa kumtetea Magufuli, hii ni honest opinion

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo mazuri; lakini bado akili yako imekwama kwa kuabudu mtu badala ya kuangalia maslahi ya nchi.

Ni nini kinachozuia Katiba mpya? Hilo huna utashi wa kuliandika.

Hata hivyo, hayo uliyoorodhesha hapo yaliyofanywa na awamu hizo huwezi kuyaita 'malengo mama.'
 
Mkuu kulikuwa na rasimu ya Warioba, wananchi walitoa maoni yao, lakini ccm kwa wingi wao wakachakachua maoni ya wananchi. Basi haidhuru hiyo rasimu ilichakachuliwa, kulikuwa na katiba pendekezwa iliyokuwa imefikia hatua ya kura za maoni, lakini hata hiyo Magufuli aliikataa. Sasa naona unamkubali mtu asiyetaka katiba bora, bali anataka hii hii ili ubovu uendelee. Kwa maneno marahisi unataka CCM iendelee kukaa madarakani, maana unadhani wengine wote watakaokuja watakuwa kama hawa CCM uliowazoea.
Wengi wape hii ndio demokrasia huwezi kusema wamechakachua wakati walio wengi ndio wameikubali

Sent from Tapatalk
 
Back
Top Bottom