Baadhi ya Watanzania wanashangaza sana

Baadhi ya Watanzania wanashangaza sana

Mwafrika yeyeto usipomuwekea mfumo wa kumdhibiti hawezi kuwa na tija ni lzm ataumiza wenzake.Check South Africa, Zimbabwe,Congo nk mobutu,zuma,bokasa, mugabe walijijengea makasri mahekalu kwa wizi wa Kodi za umma utadhani awatokufa.Lkn huwezi sikia watawala wa kikoloni mfano kina Ian Smith,Pita Botha,de Clark waliiba Kodi za umma wakajimilikisha na kujenga mahekalu popote duniani,isipokuwa hawa wakoloni weusi ni Sababu hawana mfumo wa kuwabana katiba zinawaruhusu kufanya chochote wajisikiacho kuuwa,kuiba,kuuwa uchumi, kuleta umasikini,nk huku wakipewa Kinga,hii iko Africa pekee thus hatuwezi endelea tofauti na wenzetu viongozi wao hawana room ya kuchezea katiba zao huwezi unakwenda jela wanaweka mwingine thus wanasonga.

Kusema ni rahisi, leo hii Trumpet kila miradi anahujumu uchumi wa USA hakuna anayelialia kama kasungura kalikokosa maziwa. Ataondoka Madarakani na hakuna lolote litakalotokea. Hao miungu wenu huko kwenye neema kwa nini msihamie huko? Demokrasia yoyote ina gharama zake. UK Malkia tangu miaka karibu 400 na ushee wanakula bata, hivi unafahamu budget yao? Watakuwepo wezi ambao mnawalalamikia lakini washawishi wa wezi hao ndio hao mataifa makubwa. USA, UK, EU etc.

Ukweli wa mambo ni kwamba Waafrika tutafute yule hasa anayewaibia Waafrika na kumkaba koo. Ni kilio kikubwa kuona Mwafrika mwenzako jinsi anavyijikombakomba kwa wazungu. Aibu ya karne kwenye kizazi hiki ambacho kinajifanya ati kimesoma, sijui huko kusoma walikwenda kusoma nini? Ujinga!
 
Usitudanganye wewe Ccm huwa inawakilisha aina flan ya watu walio kata tamaa kama ilivyo wewe na mawazo ya kizee zee
Ila vyama safi kamaa Act vina fikra ya ukombozi
Walio kata tamaa? Toka mwaka 61 ndio wanaotawala mpaka leo Tena wanashinda kwa kishindo unajua kwa nini? CCM sio chama cha familia Wala sio chama cha kikanda wala sio chama kidini! Tazama anae jiita mshindani wake chadema ni tofauti chama kinamilikiwa na family kina udini ukkkt kina ukabila uchaga ukanda ukaskazini! Hakuna chama mbadala kwa ccm kwa sasa CCM itaendelelea kutawa maisha!

Sent from Tapatalk
 
I
Kusema ni rahisi, leo hii Trumpet kila miradi anahujumu uchumi wa USA hakuna anayelialia kama kasungura kalikokosa maziwa. Ataondoka Madarakani na hakuna lolote litakalotokea. Hao miungu wenu huko kwenye neema kwa nini msihamie huko? Demokrasia yoyote ina gharama zake. UK Malkia tangu miaka karibu 400 na ushee wanakula bata, hivi unafahamu budget yao? Watakuwepo wezi ambao mnawalalamikia lakini washawishi wa wezi hao ndio hao mataifa makubwa. USA, UK, EU etc.

Ukweli wa mambo ni kwamba Waafrika tutafute yule hasa anayewaibia Waafrika na kumkaba koo. Ni kilio kikubwa kuona Mwafrika mwenzako jinsi anavyijikombakomba kwa wazungu. Aibu ya karne kwenye kizazi hiki ambacho kinajifanya ati kimesoma, sijui huko kusoma walikwenda kusoma nini? Ujinga!
Ishu sio kujikomba tunazungumzia reality.Ni wakati gani maisha ya waafrica yamekuwa magumu ya hovyo ni kabla au baada ya Uhuru,jibu unalo.Ni jamii ipi inayoongoza kwa ufisadi na upigaji jibu unalo.
 
Mawazo mazuri; lakini bado akili yako imekwama kwa kuabudu mtu badala ya kuangalia maslahi ya nchi.

Ni nini kinachozuia Katiba mpya? Hilo huna utashi wa kuliandika.

Hata hivyo, hayo uliyoorodhesha hapo yaliyofanywa na awamu hizo huwezi kuyaita 'malengo mama.'
Katiba mpya inaombwa na wale ambao hawako madarakani, sio ajabu. Tatizo lenu mko minority. Nyerere alipigania uhuru na kushinda kwa sababu majority ndio walitaka iwe hivyo. That's how Africans came to be independent.

Huwezi kuwashawishi wananchi wakuchague wakati hata hako karuzuku tu unakula wewe na ukoo wako kwa sababu tu ni mwenyekiti wa kudumu wa chama cha ukoo/kikabila zaidi.
 
Katiba mpya Ni utashi wa wananchi wote sio kwa wapinzani tu walio wengi wanao piga kura kukiweka chama tawala madarakani sio hitaji Lao kwa sasa

Sent from Tapatalk
 
I

Ishu sio kujikomba tunazungumzia reality.Ni wakati gani maisha ya waafrica yamekuwa magumu ya hovyo ni kabla au baada ya Uhuru,jibu unalo.Ni jamii ipi inayoongoza kwa ufisadi na upigaji jibu unalo.

Huo ni uongo, ukiangalia clip wakati wa Uhuru Tanzania raia wengi walikuwa wanatembea peku peku, sina hata sababu ya kukujibu hili. Huo ubinafsi wako na genge lako hautakusaidia.

​
 
Katiba mpya inaombwa na wale ambao hawako madarakani, sio ajabu. Tatizo lenu mko minority. Nyerere alipigania uhuru na kushinda kwa sababu majority ndio walitaka iwe hivyo. That's how Africans came to be independent.

Huwezi kuwashawishi wananchi wakuchague wakati hata hako karuzuku tu unakula wewe na ukoo wako kwa sababu tu ni mwenyekiti wa kudumu wa chama cha ukoo/kikabila zaidi.
Kwanza nakudharau kwa kunihusisha na upande wa siasa na kuacha haki yangu ya kuwa mTanzania.

Jibu lako ni la kipuuzi, kwa hiyo hustahiri kupewa heshima ya kujibiwa kistaarabu.
 
Katiba mpya Ni utashi wa wananchi wote sio kwa wapinzani tu walio wengi wanao piga kura kukiweka chama tawala madarakani sio hitaji Lao kwa sasa

Sent from Tapatalk
Angalia upuuzi huu ulioandika hapa.

Hao wananchi walipiga kura lini kwa utashi wao kwamba CCM iwepo madarakani?

Hili swali huna uwezo wa kulijibu kwa hiyo usijihangaishe bure
 
Kwanza nakudharau kwa kunihusisha na upande wa siasa na kuacha haki yangu ya kuwa mTanzania.

Jibu lako ni la kipuuzi, kwa hiyo hustahiri kupewa heshima ya kujibiwa kistaarabu.
I wouldn't care less.
 
Huo
Huo ni uongo, ukiangalia clip wakati wa Uhuru Tanzania raia wengi walikuwa wanatembea peku peku, sina hata sababu ya kukujibu hili. Huo ubinafsi wako na genge lako hautakusaidia.

​

Huo Uhuru umetusaidia nn,Hali tu dhoofu Hali hakuna ajira,afya,elimu,nk.Bali kwa wateule wachache
 
Kama ni hivyo kwanini CCM wananajisi uchaguzi chini ya Magufuli ili waendelee kubaki madarakani? Kwanini wasiheshimu matakwa ya wananchi ili wapishe watanzania wengine nao watawale? Hiyo katiba bora kikwazo ni hao ccm, huku Magufuli unayemkubali akiwa kikwazo namba moja wa katiba bora.
Lugha uliyotumia ni ya watu wajinga wasioweza kujenga hoja.

Najisi ni mavi au mikojo au nguruwe.

Wewe naona unajinajisi mwenyewe Kwa kauli zako za kijinga. Maana ni wazi, unakunya kutoka mdomoni sio makalioni.

Mleta mada kaleta mada nzuri, kaandika na kajenga hoja zake kwa matamshi safi kabisa. Wewe pinga hoja kwa hoja si kwa kunya kupitia mdomoni.
 
Hizi ni propaganda za chadema eti kunajisi uchaguzi Kama Wana najisi uchaguzi mngekuwa na na madiwani mameya wabunge usipende kusema uongo

Sent from Tapatalk

Hao walipatikana wakati bwana JK box la kura likiwa linaheshimiwa kwa mbali
 
Lugha uliyotumia ni ya watu wajinga wasioweza kujenga hoja.

Najisi ni mavi au mikojo au nguruwe.

Wewe naona unajinajisi mwenyewe Kwa kauli zako za kijinga. Maana ni wazi, unakunya kutoka mdomoni sio makalioni.

Mleta mada kaleta mada nzuri, kaandika na kajenga hoja zake kwa matamshi safi kabisa. Wewe pinga hoja kwa hoja si kwa kunya kupitia mdomoni.

Hapa sio kituo chako cha maadili wala mimi sio mtoto wako, kama unataka kufundisha lugha ya kutumia jukwaani, anzisha jukwaa lako watu watafuata utakacho. Ule uhayawani unaofanyika kwenye chaguzi zetu ni kinyesi kama kinyesi kingine.
 
Wengi wape hii ndio demokrasia huwezi kusema wamechakachua wakati walio wengi ndio wameikubali

Sent from Tapatalk

Ninaposema kuchakachua sisemi kwa kubahatisha boss.
 
Ikiwa tutakuwa na KATIBA ambayo itaweka malengo ya Tanzania mbele kwamba chama chochote kitakacho tawala, basi kielekeze katika malengo MAMA.

Tusitegemee ILANI ZA VYAMA pekee, So kama taifa tufikiri katika kuboresha katiba YETU.

Tujiwekee malengo ya muda mrefu kama taifa, KATIBA bora ndio dili kwa mtazamo wangu.

Hicho kipande ndo cha muhimu sana mkuu,

Sio kila Raisi/chama kinapokuja kila awamu wanakuja na Ilani yao kwa hali hiyo kuwa Donor country tutaisoma kwenye magazeti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom