Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,786
- 128,801
Mkuu yeye anatimiza ILANI ya chama cha mapinduzi. Hayo ni maandishi tu.
Laiti tukipata katiba bora kama mataifa ya America, tutaweza kuwa na malengo ya muda mrefu kama taifa, na hata kama chama kingine kikitokea kutawala basi yale malengo MAMA ya katiba yatatuongoza, hatutakuwa na sera tofauti tofauti tena.
Mfano BW Mkapa alikuja na ubinafshaji, JM Kikwete akaja na kilimo kwanza, sasa tuna sera ya VIWANDA.
Hii tunaweza ku avoid tukiwa na malengo MAMA bora ya kwenye katiba, ni mtazamo wangu tu. Na sipo hapa kumtetea Magufuli, hii ni honest opinion
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mna sera ya viwanda, au kuna neno la uhamisishaji viwanda?