Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

Hahaaaaaaaaa, mkuu pole. Nilishawahi kukutana na case kama hizo mbili, tena wote wachaga. Mmoja ilikuwa Dar na nyingine ilikuwa Morogoro. Huyo wa Dar ndo aliniacha hoi, yaani mimi nachakrika kila style mtu katulia tuu. Mbaya zaidi simu yake ikaita tukiwa katikati ya mechi. Akaishika akaipokea wakati mimi naendeleza game. Kudadadeki, alianza kuongea kilugha, mara nikasikia mambo ya hela, sijui wanaambiana bei nikajua ni dili la biashara. Alipomaliza kuongea, akajifanya anakata kiuno kidogo baadaye akasema amemaliza. Nilishtuka aliponiuliza, "hujamaliza?'

Shikamoo wadada wa kichaga.
Ha ha ha ha hahahaha....
Jamaa siku nikikutana na hiko kisanga nahisi nitakonda watu waseme nina ngoma.. Hahahah
 
Siku hizi wanavuliwa kwa ahadi feki kibao, ndiyo maana nao wanabidi waigize... ndiyo maana ukimpeleke guest atalia kama kitanda cha guest... ukimpeleka hoteli ya nyota tano- atalia kama star- na misemo ya kizungu mixer kichina na kihindi humo humo...
Hahaha haaaaa
 
Yaan vitu vingine sitaki hata kujifikirisha mie, yangu huwa ni game ya kibabe, kafake hajafake shauri yake. Mi nshamla huo muda sina wa baby umeridhika! Sijui umekojoa! Akitaka kukojoa aongeze tu bidii ya kunywa maji, tusisumbuane
Hahaah... Aisee hapo umecheza kama pelle,
Yaani inabidi iwe ivyo tu
 
upload_2016-10-16_21-37-23.jpeg
 
Kama demu lenyewe goma unahangaika nn kumkojolesha..[emoji51]
Piga bao zako amsha popo
 
Siku hizi wanavuliwa kwa ahadi feki kibao, ndiyo maana nao wanabidi waigize... ndiyo maana ukimpeleke guest atalia kama kitanda cha guest... ukimpeleka hoteli ya nyota tano- atalia kama star- na misemo ya kizungu mixer kichina na kihindi humo humo...
wanalia kichina...ha ha ha ha ha...ng`huu haa, masterr.........
 
Ujue hapo ni sawa na anajidanganya mwenyewe cuz Mimi nikishapizz nakuwa nimeshajisevia, kazi anayo yeye... Alafu venossah Mungu anakuona
Anayefake ujue ameona unam'boa, bora umalize umpishe akafanye mambo mengine.
Hatupendi ujinga
 
DHL Shusha Mzigo Uende zako. Si kuna Insurance meku. Akikagua akikuta si salama anaitisha Insurance analipwa analala

KEY:
DHL = Mchunwaji (Wewe)
Mzigo = Mgegedo
Insurance = Serengeti Boy.

*Key hii ni kwa wale vila.za
 
Back
Top Bottom