Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

Hahaaaaaaaaa, mkuu pole. Nilishawahi kukutana na case kama hizo mbili, tena wote wachaga. Mmoja ilikuwa Dar na nyingine ilikuwa Morogoro. Huyo wa Dar ndo aliniacha hoi, yaani mimi nachakrika kila style mtu katulia tuu. Mbaya zaidi simu yake ikaita tukiwa katikati ya mechi. Akaishika akaipokea wakati mimi naendeleza game. Kudadadeki, alianza kuongea kilugha, mara nikasikia mambo ya hela, sijui wanaambiana bei nikajua ni dili la biashara. Alipomaliza kuongea, akajifanya anakata kiuno kidogo baadaye akasema amemaliza. Nilishtuka aliponiuliza, "hujamaliza?'

Shikamoo wadada wa kichaga.
tuombe radhi tafadhali tena kwa maandishi
 
Dah asisee laiti kama madem wote wangekuwa kama huyo wako basi dunia ingekuwa mahali salama,
ila hii midemu mingine sihui ikoje
ipi hiyo mbona hujibu msg zangu? I thought am only one kumbe mhhhhh
 
Wasichana wasikuizi Wanafake tu Orgasm we
unaona wanalia kama Ndama mtoto
Unajua wanafaidi kumbe wanakutia tu moyo
umalize waende kuoga..
JINGA KABISA..!
Kwa amateurs ndio watadanganywa lkn kwa wazoefu wanajua kama ni kweli au fake, halafu mwisho wa siku si lazima afike kileleni!!!! Je kama ni wewe umelazimisha sex wakati yy hakuwa na mpango huo????
Au je kama anafanya sex kwa sababu umemuahidi pesa au favour nyingine unategemea ataenjoy hilo tendo?????
 
Hata akiigiza haina kwele kama K ni genuine fresh tu wee piga show yakibabe kula winga.
 
Back
Top Bottom