Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.
Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.
Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.
Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha