Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Hapana kwa upande wangu mimi mwanamke yaani niwe ndiyo nimeingia kwenye mahusiano na mwanaume hata mwezi hatuna tayari nimlete kwangu hiyo ni sawa?
Hiyo ni hiyari na uamuzi wako jinsi ulivyomsoma mtu wako.Mwanaume anayejitambua hapaswi kwenda kwa mwanamke.
 
Labda anataka kukagua kwako, akuongee vilivyopungua 😂😂

Maisha yangu yoote ni ngumu saana kwenda kwa mwanamke.
 
Ujumbe murua Wifematerial ila ni kwa wanaume pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…