Hili nalo la kuhitaji ujasiri? Kama mwanaume anaweza lamba sehemu yenye zaidi bacteria milioni moja hilo ni jambo dogo sana linaloweza kufanywa na wanaume.Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
😂😂😂😂😂Mleta mada siku akipata ugeni wa kubumba (wa ghafla I mean)
View attachment 3435667
Kwanini na wewe uiendee hatari sasaHili nalo la kuhitaji ujasiri? Kama mwanaume anaweza lamba sehemu yenye zaidi bacteria milioni moja hilo ni jambo dogo sana linaloweza kufanywa na wanaume.
Kuna mambo wanaume tunafanya ni hatari hata kusimulia. Wewe ukiombwa kumkatibisha na uamuzi wa kukataa au kukubali. Wapo wanawake ambao wanashutumu wanaume wanaona signals hawajiongezi na kuchangamkia fursa. Unataka baadae umuite zoba?
HakikaUjumbe uwafikie
Hivyo ndiyo inavyotakiwaMimi kipindi naishi single ilikuwa ni marufuku mwanaume kukanyaga kwangu
Siyo kweli mkuu, hivyo unatafsiri vibaya nyie wanaume shida yenu mnataka kufanya vyumba vya wenzenu kama guest houseUKweli ni kwamba wanawake ambao hawataki kuwapeleka wanaume wanapoishi ni kwamba wanakuwa hawana mwanaume mmoja. Hivyo ili mambo yasiwe mengi wanazuia wanaume kwenda kwao kwa kisingizio kwamba watamwingiza future mume ama baba mtoto/watoto.
Ila unakuta kuna msururu wa wanaume wanaotoa hela ya kodi.
Sijamaanisha hivyo ulivyomaanisha mkuuNimeona maneno "HUMLIPII KODI" tayari nimehitimisha wewe ni mwanamke wa aina gani😁
Mkuu wewe unaona sahihi mtu umefahamiana naye hata mwezi uanze kumkaribisha kwako?Uchoyo na roho mbaya vimegandamana na roho za wanawake.Si ajabu sensa isiyo rasmi inawataja wanawake wengi ndiyo wachawi.
NB;Kwenda kwenye makazi ya mwanamke (mpenzi)halafu utie nanga nao ni ufala uliopea viwango.
Kwanza unaonaje kwa mtoto wa kike banaaHabarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Pole sana bro alex 😢Ni kweli lakini dunia hii Ina mengi. Unaweza ugua ghafla na wenzako WASI respond kwa wakati. NSHA kutana na na huo mtihani uti wa mgongo ulikazaa SIWEZI amka nikavuta SIMU kushtua NDUGU wakachelewa nikasaidiwa na JAMAA YANGU WA mbali SANA hata SI kudhania YANI sinaga hata STORI NAE SANA. SIMU moja TU kwishaa
Kwishaaaa
Mkuu wengi wanaotaka kukaribishwa huwa wapo serious kabisa wanataka kuja kweliJibu la swali.lako ni majibu mawili
1)mwanamke unaweza ukamlisha na kumtunza kwa miaka miwili ila yeye akikulisha na kukutunza miezi miwili tu utajuta kwa masimango na dharau .
2)Wanaume wa hivyo wanasema hivyo kukupimq wakitaka kujua nafasi yao mwanzo wa mausiano na kukusoma ...wapo wanaume wengi wanasema hivyo ika ukiwakalibisha wanakuwa wagumu kuja kwako .
Kuona nini?Kwanza unaonaje kwa mtoto wa kike banaa
Unamaanisha nini?Kwamba,mimi Musa nikifahamiana na mwanamke kabla ya mwezi kuisha nimkaribishe nyumbani kwangu?Mkuu wewe unaona sahihi mtu umefahamiana naye hata mwezi uanze kumkaribisha kwako?
Mimi siendagi kwa watuWewe ukienda kwake unamlipia kodi?
type error.. Naamaanisha Mwanaume unaenda kwa mwanamke ambae hujamlipia mahali..Kuona nini?
Mkuu umechukua keyword,😂😂Nimeona maneno "HUMLIPII KODI" tayari nimehitimisha wewe ni mwanamke wa aina gani😁
Hapana kwa upande wangu mimi mwanamke yaani niwe ndiyo nimeingia kwenye mahusiano na mwanaume hata mwezi hatuna tayari nimlete kwangu hiyo ni sawa?Unamaanisha nini?Kwamba,mimi Musa nikifahamiana na mwanamke kabla ya mwezi kuisha nimkaribishe nyumbani kwangu?