Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,119 Reaction score 12,927 Aug 9, 2025 #221 waifu material said: Nyinyi wangapi? Wengine hatuendagi Click to expand... Sawa bikira la jf
Credit JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 1,551 Reaction score 2,027 Aug 9, 2025 #222 JF tunaomba muunde jukwaa maalumu la wanawake wa aina hii kama mleta mada.
T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 4,903 Reaction score 7,212 Aug 9, 2025 #223 waifu material said: Eeeeh! Hongera kwa ujasiri Click to expand... Sija mojawapo ya mwanaume ni ujasiri..lakini sio wa kiboya. Tahadhari ni mhm, hata uwe komando.
waifu material said: Eeeeh! Hongera kwa ujasiri Click to expand... Sija mojawapo ya mwanaume ni ujasiri..lakini sio wa kiboya. Tahadhari ni mhm, hata uwe komando.
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 Aug 9, 2025 Thread starter #224 Credit said: JF tunaomba muunde jukwaa maalumu la wanawake wa aina hii kama mleta mada. Click to expand... Wanawake wa aina gani mkuu?
Credit said: JF tunaomba muunde jukwaa maalumu la wanawake wa aina hii kama mleta mada. Click to expand... Wanawake wa aina gani mkuu?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,055 Reaction score 196,768 Aug 9, 2025 #225 Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,417 Reaction score 185,431 Aug 9, 2025 #226 Smart911 said: Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Walafi hatujali wala nini tunajilipua tu.
Smart911 said: Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Walafi hatujali wala nini tunajilipua tu.
Y ycam JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 925 Reaction score 1,429 Aug 9, 2025 #227 waifu material said: Tena mwanamke asiyemlipia kodi Click to expand... Kwanini unasistiza sana hapo kwenye Kodi? Inahusiana vipi na utayari wako wa kumkaribisha rafiki yako kwako?
waifu material said: Tena mwanamke asiyemlipia kodi Click to expand... Kwanini unasistiza sana hapo kwenye Kodi? Inahusiana vipi na utayari wako wa kumkaribisha rafiki yako kwako?
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 Aug 9, 2025 Thread starter #228 ycam said: Kwanini unasistiza sana hapo kwenye Kodi? Inahusiana vipi na utayari wako wa kumkaribisha rafiki yako kwako? Click to expand... Hauoni kama inahusiana?
ycam said: Kwanini unasistiza sana hapo kwenye Kodi? Inahusiana vipi na utayari wako wa kumkaribisha rafiki yako kwako? Click to expand... Hauoni kama inahusiana?