kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.