Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

Ifike mahali Mwanaume ufuatilie mambo yako mwenyewe hzo pigo kwenda mahali unaanza kuchora watu Sio . Hii nimekuambia kama mwanaume mwenzangu ili usiaibike siku utakutana na watu tusio na hizi pigo
 
ujakutana na Mwana UWABATA Shupavu wewe
JamiiForums764367501.jpg
 
Vijana wa dar ndio maana wengi ni mapunga, umeenda na mishe zako why unaanza kuchunguza watu ambao hata hujui hapo wamekuja kufanya nini na wametokea wapi? Unapokula acha kuangalia plate ya mwenzio concentrate kwenye sahani yako.
 
Kidume kuwa m'mbea ndio tabia za kiduanzi.

Na wabongo hatuendelei kwasababu ya kufuatilia maisha ya watu...

Hakuna linalokusu wa unalojua lolote kuhusu hao wapenzi... Wewe umewaona tu na uka conclude kuwa hawana madusco..

Acha umbea mkuu.,,uishi maisha marefu.
 
Back
Top Bottom