Baadhi ya mambo ambayo Wang Yi atayafanya akiwa katika ziara nchini Tanzania

"#Aidha, Serikali ya China itajenga Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (VETA) mkoani Kagera ikiwa ni namna ya kufikia lengo la Serikali la kujenga Vyuo vya VETA kila Wilaya hapa nchini"

Hiki chuo kikikamilika utasikia kimejengwa kwa fedha za Watanzania!
Mazuzu wa ccm wamezoea kutudanganya wakati huo na sisi tunajua fika kwamba wanatudanganya
 
Kwa mfumo wa kiutawala na uongozi wa China,Waziri ni mtu mdogo sana ana mabosi 2 anareport kwao-hawa report kwa Rais,Waziri ni mtu wa 4 kimamlaka.
 
muandishi atusaidie tuelewe ziara ya waziri wa mambo ya nje wa China itakuwepo tarehe ngapi za uhakika ?pamoja na kuulizwa hajatupa taarifa sahihi. Kama kuna anaye fahamu habari hii atusaidie.
 
Kwann wajenge hali tunao uwezo wa kujenga vyuo vya veta nchi nzima kila center penye uhitaji.Kama tunanunua ndege cash, SGR cash,mav8 cash tunashindwa vipi kujenga vyuo
102011131.jpg
 
Na yule shehe Ubwabwa wa Dar atahamia Chato
Yule hata haeleweki. Yuko kama sigara nyota. Ndomaana anaomba kwa mtume na Yesu. Ila mbona nilimuona akiomba dua Dodoma wakati yeye ni wa Dar?
 
Hii ndiyo Tanzania ya vwanda na uchumi wa kati...... Wakti bado tunazindua vyuo vya VETA,
Anyway siyo mbaya. maisha ni hayahaya ndug zangu ,au nasema uhongo ndg zang
 
18 March 2021
Beijing, China

Foreign Ministry Spokesperson Zhao Lijian's Remarks on the Passing of Tanzanian President John Magufuli



Q: The Tanzanian government announced on March 17 that President John Magufuli passed away due to an illness. Has the Chinese side extended condolences to the Tanzanian side? How does China comment on President John Magufuli?

A: President John Magufuli attached great importance to developing relations with China and made important contributions to bilateral cooperation in various fields. We express deep condolences over his passing and sincere sympathies to his family and the government of Tanzania.

President Magufuli was an outstanding leader and a staunch defender of national sovereignty against foreign interference. He led the Tanzanian people in advancing national economic and social development and enjoyed their strong support. China highly values its profound traditional friendship with Tanzania. At this moment of grief, the Chinese people's hearts are with our friends in Tanzania.

Source : https://www.fmprc.gov.cn/mfa_eng/
 
Back
Top Bottom