Kwa hili nakubali ila pia ntakupinga maana kuna rundo la wanawake wenzio wanaoharibu huu utetezi wako.Nimekuelewa kwamba eti mwanaume amtendee Wema mkewe ili mkewe amtendee Wema mumewe, iyo kitu Africa ni almost non applicable
Maana wanaume wa kiafrika wapo kwa ajilj ya kunyeyekewa na wake zao na si kunyeyekea wake zao ili wapate return ya kunyenyekewa too,
Hivyo basi mwanamke anatakiwa kuelewa yeye ni mtu pekee wa kuituliza familia yake kwa kujishusha kwenye baadhi ya mambo ili familia iende
Fatilia comment zangu utaelewa MkuuKwa hili nakubali ila pia ntakupinga maana kuna rundo la wanawake wenzio wanaoharibu huu utetezi wako.
Mwanamke wa kiafrika ukimnyenyekea anakupanda kichwani na kukuona fala at the end. Ndio shida kubwa iliopo na tokea enzi za mababu waliamua tu kuanza kuwabutuaga kwa sababu hio.
cjui ila tubadilishe venu aisee, nisije kamatwa loooh na mimi najaribu kukusaidia tu na si vinginevyo
aya tukikutana tutaambizana venue
Where is STUNTER!! Au yuko busy kuandaa kichambo(chai) kipya huku jje's anajimwaga tu.sawa, heading there right away supermarket usije cause tunatania looooh
Tena wewe ndio unambadilishia venue!! Ngoja niombe umod nije nideku kifuatacho itv.Wifi acha fujo kidogo tu jaman
Eti eeeeh!! Subiri kichambo chako, mie nitakuwa nakunywa tu juice pembeni.Ananiamini bro wake siwezi mzunguka zaidi ya kumtunzia mzigo wake.
Sio neno, bali ukinipa pesa.
Sio kikubwa,laki2 tu.
Aaah bwana shemeji, yu keni mi.In money I can't you
Umeshaolewa?LadyAJ my wifi, yaan watu wengine hatuwezi kwa kweli. two way traffic lazima i apply la sivyo nikuumiza mioyo tu hapa.
i say no way kwa one way.