tena nilikosea, I meant to say wewe unapenda mweupe kidogo eeeeh
kweli?Mimi naacha sijui wengine![]()
Hicho ndicho kitu cha kuzingatia, only mumeo akupende basii ila usishindane nae na wala usishindane na ndugu zake wapuuzehivyo sitabishana nae ila anipende loooh, ki ukweli napenda kupendwa hivyo vingine vyote nitafunga macho. mawifi kunisengenya ni shida zao cause wameona nimewazidi. unajua mutu hawez poteza muda wake kukusema kama hajakukubali.
mie hivyo ni vitu vidogo tu ila mume anipende tu basi
Sio kihivyo bhna kama unavyotufikiria. Tunabadilika kidogo kidogoNimekuelewa kwamba eti mwanaume amtendee Wema mkewe ili mkewe amtendee Wema mumewe, iyo kitu Africa ni almost non applicable
Maana wanaume wa kiafrika wapo kwa ajilj ya kunyeyekewa na wake zao na si kunyeyekea wake zao ili wapate return ya kunyenyekewa too,
Hivyo basi mwanamke anatakiwa kuelewa yeye ni mtu pekee wa kuituliza familia yake kwa kujishusha kwenye baadhi ya mambo ili familia iende
haswaaa, wifi bhana, kwani ile alosema two way trafic alimaanisha na ndugu? la hasha,Hicho ndicho kitu cha kuzingatia, only mumeo akupende basii ila usishindane nae na wala usishindane na ndugu zake wapuuze
Ndiyo kaugonjwa kangu hakotena nilikosea, I meant to say wewe unapenda mweupe kidogo eeeeh
nijibu sasa maana nilikuchanganya
Hapo ndipo penye utata. Hata niseme kweli hautoaminikweli?
LadyAJ you didn't get my concept by saying "Mapenzi ni Two Way Traffic"Haya, subiri huo usawa mama, ila hautaupata kwa 100%
-Mwanaume atakurudia usiku wa manane,je na wewe uta i apply two way?
-Mawifi +mama mkwe watakusengenya- je uta apply two way na wewe uwasengenye uwachukie kamawanavyokuchukia?
-Mwanaume atakua na kauli mbovu mbovu juu yako, je uta i apply mama
*Ata cheat hadharani hasirani, je na wewe uta cheat?
Kuna vitu itakupasa ujishushe ili uifanye nyumba yako isiwe kaa la moto likaunguza wanao
ok nisije kukuletea chocolate ukaanza kununa. be tuned soon will be in your empire with ka mchuchuNdiyo kaugonjwa kangu hako
Mtoa post umetema madini ya kueleweka. Tatizo kigezo namba 5 na namba 6 vinawashinda dada zetu maana wengi ni machi no... kila kitu wanajua.. alafu wabishi kweli...Habari wana MMU?
Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.
2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)
3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)
4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)
5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)
6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
You never downed me ( hujawahi niangusha )ok nisije kukuletea chocolate ukaanza kununa. be tuned soon will be in your empire with ka mchuchu



ila i can't you. nilikuelewa sana hata kama hukuweka mabanoYou never downed me ( hujawahi niangusha )![]()
toka hapa umeanza vizuri ukamalizia vibaya.Mtoa post umetema madini ya kueleweka. Tatizo kigezo namba 5 na namba 6 vinawashinda dada zetu maana wengi ni machi no... kila kitu wanajua.. alafu wabishi kweli...
umeona ee? basi fanya kwa vitendo.Hapo ndipo penye utata. Hata niseme kweli hautoamini
Kuna kitu gani hapa kinaendelea!!You never downed me ( hujawahi niangusha )![]()
ila i can't you. nilikuelewa sana hata kama hukuweka mabano