Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

kumbe ndio maana hatuendeleiii, kwa kuwa watu walioko serikalini wengi wametoka Mzumbe, kumbe ndio maana, vijana smart wanaomaliza UDSM hawapati ajira serikalini kwa sababu ni tishio kwa zile Diploma za Mzumbe, kumbe ndio maana.................

Nungwi,
hebu kumbuka zile score zako za form six kama ungeweza hata kujaribu kuingia UDSM wakati wako.
Hakuna aliyekataa kuwa Baisi alipata degree feki, Angalia action iliyochukuliwa na utawala wa UDSM, je Mzumbe wamechukua hatua gani kudhibiti jambo kama hilo? Nungwi soma hoja za watu na uzielewe kisawasawa

Wazee wa UDSM
Binafsi sijapitia UDSM, lakini historia ya watu waliokuwa wakiingia pale naijua, na kutokana na uandishi wa Nungwi, nawaomba msipoteze muda na yeye.

JKN (RIP) alisema
...........ni vema ukijua kuwa hujui na ukakubali kuwa hujui, kuliko kujiona unajua kumbe hujui.......hii ni HATARI!!!
Nadhani hii topic ya zamani. Hilo suala kwa sasa halipo Mzumbe. Wale wote waliokuwa na degree fake ilitokea kama zali wote walishastaafu na wengine walienda shule zaidi, na sasa Mzumbe kinasomesha PhD watu wake ktk nyanja zote. Mpaka 2015 Mzumbe itakuwa imejaa maprof na Dr! Sema kilichokuwa kinakwamisha watu wengi PhD ni kutokana na kutokuwa na mfumo ulio wazi wa PhD tofauti na sasa halafu pia lecturer wengi walikuwa na dili nyingi mtaani na kuona PhD siyo chanzo cha pesa, ila sasa kutokana na kuingia kwenye mfumo wa quality assurance the wanalazimika kuwa na PhD wengi. Na kuna wataalamu kwa sasa mfano kuna jamaa anaitwa Dr Lukanima, ni kichwa cha Finance, na sasa kimepata dili south America, hiyo ni mifano michache.
 
Nadhani hii topic ya zamani. Hilo suala kwa sasa halipo Mzumbe. Wale wote waliokuwa na degree fake ilitokea kama zali wote walishastaafu na wengine walienda shule zaidi, na sasa Mzumbe kinasomesha PhD watu wake ktk nyanja zote. Mpaka 2015 Mzumbe itakuwa imejaa maprof na Dr! Sema kilichokuwa kinakwamisha watu wengi PhD ni kutokana na kutokuwa na mfumo ulio wazi wa PhD tofauti na sasa halafu pia lecturer wengi walikuwa na dili nyingi mtaani na kuona PhD siyo chanzo cha pesa, ila sasa kutokana na kuingia kwenye mfumo wa quality assurance the wanalazimika kuwa na PhD wengi. Na kuna wataalamu kwa sasa mfano kuna jamaa anaitwa Dr Lukanima, ni kichwa cha Finance, na sasa kimepata dili south America, hiyo ni mifano michache.

Ni kweli uyasemayo Mzumbe kwa sasa ipo juuuuuuuuuuiiiiiiiuuuuuui so
 
Mzumbe University - Propectus

Associate Professors
1. Moses M.D. Warioba DPA (IDM), Dip. Publ. Sect. Mgt (Aston), MBIM- (London), M.Sc. Publ. Sec. Mgt (Birmingham), Ph.D. (Public Admin.) PWU, (USA) NB: Huyu ndio Vice Chancellor!

2. Leonard .J. Shio B.A (Ed) Hons. (UDSM.), M.A. (Econ. Dev.) (UDSM), Ph.D(Management) PWU, (USA)

3. M.N. Chao B.A (Ed.) Hons. (UDSM), M.A. (Dev. Studies) (UDSM), Ph. D. (PWU), USA

Senior Lecturers
1. Raphael J.M. Habi ADPA (IDM), M.Sc.(Pers. Mgt) (Aston) (UK), MIPM (U.K.), Dip. T. & D. (Manchester) (UK), Ph.D(Management) PWU, (USA)

2. Christopher M. Sotta DPA (IDM), PG.D.(Gen.Mgt.)(IDM), MPA (IDM), Ph.D (Public Admin) PWU, U.S.A.

3. Aristarch K. Kiwango B.A. (Soc. Econ Admin) Makerere, M.Sc. (Econ.) Wales, Ph.D. (Econ.) PWU, (USA) PGD. (Project Planning)ISS,The Hague, PGD. (Pop & Dev Plan) ISS, The Hague

4. Colman Riwa B.A. (Education) (UDSM), PGD (Tesol) London, M.A. (Public Policy and Admin.) ISS, The Hague, Ph.D. (Public Administration) PWU, USA. (On leave of absence)

Lecturers
1. Diodorus Kamala Adv. Dip (Econ. Planning), (IDM), M.Sc. (Organization Syts), Linconshire Humberside,(UK), M.Sc. (Agric Development and Rural Finance) Bradford, (UK), Ph.D Commonwealth Open University (On Leave of Absence)

2. Prosper H. Ngowi Adv. Dip (Econ. Planning) (IDM), Norwegian Language and Civilization (Telemark University College, Norway, MBA (Project Mgt) Agder University College, Norway Ph.D Econ. (Norwegian School), Econ and Business Administratin(Commonwealth Open University)

FD

Shocking revealation...
 
Hata huyu ALITWAA???? mbona ni kichwa kizuri au matangazo ya luninga?

2. Prosper H. Ngowi Adv. Dip (Econ. Planning) (IDM), Norwegian Language and Civilization (Telemark University College, Norway, MBA (Project Mgt) Agder University College, Norway Ph.D Econ. (Norwegian School), Econ and Business Administratin(Commonwealth Open University)
 
Hats off,Mzee.PhD ya "namba" si mchezo (especially for a poor me who got a luck escape with a D in maths in O'level).Congratulations.And I,being a UDSM graduate myself,do agree with you that it's highly unlikely for mtu mwenye degree feki to escape the UDSM's strict vetting system.However,hata kwenye mfumo bora kabisa bado kuna possibility ya wajanja (crooks?) kujipenyeza na pengine kutakuwa na mtu mmoja wawili ambao academic credentials zao ni questionable.As mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu,reputation ya UDSM bado iko juu.

Ranking ya African universities (nafasi zao in world ranking in brackets) [source:http://www.webometrics.info/top100_continent.asp-cont=africa.htm]


1 UNIVERSITY OF CAPE TOWN 546
2 STELLENBOSCH UNIVERSITY 548
3 UNIVERSITY OF PRETORIA 554
4 UNIVERSITY OF THE WITWATERSRAND 636
5 RHODES UNIVERSITY 683
6 UNIVERSITY OF THE WESTERN CAPE 894
7 UNIVERSITY OF SOUTH AFRICA 1,256
8 UNIVERSITY OF KWAZULU-NATAL 1,478
9 AMERICAN UNIVERSITY IN CAIRO 1,518
10 UNIVERSITY OF THE FREE STATE 1,933
11 NORTH WEST UNIVERSITY POTCHEFSTROOM 2,029
12 UNIVERSITY OF PORT ELIZABETH 2,217
13 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM 2,566
14 PORT ELIZABETH TECHNIKON HIGHER EDUCATION 2,764
15 UNIVERSITY OF LA REUNION 2,891
16 UNIVERSITY OF ZIMBABWE 3,318
17 CAPE TECHNIKON 3,498
18 UNIVERSITY OF NAMIBIA 3,612
19 MAKERERE UNIVERSITY 3,628
20 UNIVERSITY CHEIKH ANTA DIOP 3,641
21 POLYTECHNIC OF NAMIBIA 3,752
22 UNIVERSITY OF MAURITIUS 3,799
23 NELSON MANDELA METROPOLITAN UNIVERSITY 4,397
24 ARAB ACADEMY FOR SCIENCE & TECHNOLOGY 4,446
25 UNIVERSITY EDUARDO MONDLANE 4,457
26 TSHWANE UNIVERSITY OF TECHNOLOGY 4,484
27 UNIVERSITY OF NAIROBI 4,508
28 UNIVERSITY OF JOHANNESBURG 4,611
29 CAIRO UNIVERSITY Flag of eg 4,748
30 GERMAN UNIVERSITY IN CAIRO 4,791
31 UNIVERSITY OF ZULULAND 4,806
32 UNIVERSITY OF BOTSWANA 4,818
33 KIGALI INSTITUTE OF SCIENCE TECHNOLOGY AND MANAGEMENT 4,963
34 ECOLE MOHAMMADIA D'INGENIEURS 4,997
35 UNIVERSITE CADI AYYAD 5,038
36 NATIONAL UNIVERSITY OF RWANDA 5,140
37 AL AKHAWAYN UNIVERSITY 5,301
38 DURBAN INSTITUTE OF TECHNOLOGY 5,313
39 BURAO UNIVERSITY 5,353
40 ADDIS ABABA UNIVERSITY 5,355
41 MANSOURA UNIVERSITY 5,374
42 NORTH-WEST UNIVERSITY 5,411
43 UNIVERSITY OF GHANA 5,420
44 MEDICAL UNIVERSITY OF SOUTHERN AFRICA 5,572
45 UNIVERSITY OF THE NORTH 5,578
46 UNIVERSITE DE NOUAKCHOTT 5,703
47 UNIVERSITY OF KHARTOUM 5,741
48 AL AZHAR AL-SHARIF ISLAMIC RESEARCH ACADEMY 5,849
49 PENINSULA TECHNIKON 5,875
50 MOGADISHU UNIVERSITY 5,927
51 TECHNIKON WITWATERSRAND 6,011
52 SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE 6,090
53 ECOLE DU PATRIMOINE AFRICAIN 6,121
54 UNIVERSITY OF MALAWI 6,159
55 UNIVERSITY OF OUAGADOUGOU 6,199
56 UNIVERSITY OF FORT HARE 6,254
57 UNIVERSITY OF IBADAN 6,304
58 UNIVERSITE SENGHOR 6,321
59 UNIVERSITY OF HARGEISA 6,329
60 UNITED STATES INTERNATIONAL UNIVERSITY 6,347
61 MOI UNIVERSITY 6,353
62 MANGOSUTHU TECHNIKON 6,416
63 MONASH SOUTH AFRICA 6,429
64 ARAB OPEN UNIVERSITY 6,523
65 UNIVERSITY ABOU BEKR BELKAID 6,524
66 NATIONAL UNIVERSITY OF LESOTHO 6,579
67 OCTOBER 6 UNIVERSITY 6,591
68 UNIVERSITY OF SWAZILAND 6,624
69 OBAFEMI AWOLOWO UNIVERSITY 6,645
70 JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY 6,674
71 KABARAK UNIVERSITY 6,699
72 ASSIUT UNIVERSITY 6,705
73 KWAME NKRUMAH UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY 6,714
74 MOHAMMED FIRST UNIVERSITY Flag of ma 6,749
75 UNIVERSITE M'HAMED BOUGARA DE BOUMERDES 6,751
76 UNIVERSITY OF ALGER 6,756
77 KENYATTA UNIVERSITY 6,761
78 UNIVERSITY OF BENIN 6,769
79 UNIVERSITY OF NORTH-WEST MAFIKENG 6,817
80 UNIVERSITY OF YAOUNDE I 6,829
81 UNIVERSITY OF BATNA 6,860
82 UNIVERSITE DJILLALI LIABES 6,906
83 STRATHMORE UNIVERSITY 6,926
84 BOTSWANA COLLEGE OF AGRICULTURE 6,969
85 HELWAN UNIVERSITY 6,982
86 DAYSTAR UNIVERSITY 7,006
87 UNIVERSITY OF VENDA 7,059
88 AFRICA UNIVERSITY 7,084
89 UGANDA CHRISTIAN UNIVERSITY 7,176
90 UNIVERSITY OF LAGOS 7,181
91 SOUTH VALLEY UNIVERSITY 7,258
92 UNIVERSITY OF BLIDA 7,294
93 VAAL UNIVERSITY OF TECHNOLOGY 7,337
94 CENTRAL UNIVERSITY OF TECHNOLOGY FREE STATE 7,359
95 MODERN SCIENCES & ARTS UNIVERSITY 7,362
96 UNIVERSITE CHOUAIB DOUKKALI EL JADIDA 7,364
97 EGERTON UNIVERSITY 7,366
98 UNIVERSITY OF JOS 7,369
99 MINIA UNIVERSITY 7,434
100 INSTITUT DE FORMATION EN TECHNOLOGIE ALIMENTAIRE
Acheni masikhara jamani,yaani kwenye vyuo 100 bora Africa Mzumbe haipo?Mbona wana mbwembwe sana mitaani product za mzumbe kumbe academically ni bogus.Halafu ndiyo maana huwa wanakuwa na G.P.A kubwa sana kumbe wanapewa za kuchakachuliwa!!
 
Aisee, this is very serious. Hata Dr.Ngowi Naye amefoji? Mie huwa naona ni Jembe kweli huyu bwana.
 
UD wakati inaanzishwa ilikuwa na ma professor na ma doctor wangapi? Kaduma alikuwa (ana) PhD?
 
UD wakati inaanzishwa ilikuwa na ma professor na ma doctor wangapi? Kaduma alikuwa (ana) PhD?

Ibrahim Kaduma was not an academic. He was an appointee of the Head of State.

In mid 1980s members of the academic staff at UDSM petitioned the government that they wanted all top thre positions at the university to be held by professors. That is when we had Prof. Geoffrey Mmari, Prof. Mgongo Fimbo and Prof. Penina Mlama.

UDSM has always tried to get rid of all academicians with fake degrees. As a result there are no academics with fake degrees. However, there was a time when the university was infested with fake professors.
 
Nungwi: Nimesubiri data zako kuhusu UDSM kwa hamu sijaziona. Ukweli ni kwamba UDSM ina mapungufu yake mengi, lakini sio katika hili la digrii fake. Pale Mzumbe hata walimu wanajuana. Ukisema wana PhD wanauliza ni original au PU-yaani PU ni PhD yeyote iliyopatikana katika vyuo vya aina ya PWU-halafu wanacheka sana. Nimemuonesha jamaa wa mzumbe hii sample ya mzumbe Prospectus, alishtuka sana kwamba kumbe watu wameshtukia.

Tulikosea namna tulivyoanzisha Mzumbe. Chuo hiki kilipaswa kiwe-affiliated to one credible university kwanza kabla ya kuwa full fledged University. Nakumbuka pale UCLAS kabla hakijawa chini ya UDSM kulikuwa na watu waliojiita maprofesa na madokta lundo. Kilipoingizwa UDSM wakabaki watu wawili tu waliotambuliwa kuwa wana PhD halali. There is a serious vetting system at UDSM; there is no way you can cross with your fake PhD. You will be nabbed and shamed.
Aisee
 
Nyie mnaowatuhumu Mzumbe mna nini mpaka mfanye hivi? Mlitakaje?kwani huko mnakolinganisha wana nini mpaka mdhalilishe chuo chenu wenyewe? Kwa nini mnawakatisha tamaa watanzania wenzetu wanaotaka wawepo wasomi wengi? Mnataka wafelishe sana watu ndio mfurahi?
 
Wacha wakfu wazikane mie nilipokuwa enzi ya iliyokuwa FOE niliona mengi na yenye kutia shaka nilinyamaza kimya kuepuka SUP! maana ukiongea cha moto utakiona! Wakati mnachimbua hili kabuli mkumbuke mfalme wa nchi pia ana fake Phd
 
Back
Top Bottom