Na Huu Si Ufisadi?

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Katika kuchaguwa mawaziri na kuunda wasimamizi wakuu wa serikali, inaonyesha kuwa kwa asilimia kubwa taaluma hazizingatiwi kuwa ni njia moja ya kupata ufanisi katika wizara husika. Hivi tunategemea ufanisi upi wa hali ya juu kwenye mparaganyo wa taaluma kiasi hiki? Jee, na huu si ufisadi?

Unless iwe mawaziri wanachaguliwa uwaziri kisiasa na si kiufanisi na utendaji bora kutokana na taaluma zao.

Na hawa wataalamu waliobobea kwenye nyanja zao ambao wanachaguliwa na kuwekwa kwenye nyanja tofauti na taaluma zao, hawaoni kuwa wanaharibu taaluma zao na hawatowi mchango kwa kadri ya uwezo wao?

OFISI YA RAIS:
1. Ofisi ya Rais Utawala Bora
-Sophia Simba
University of Zimbabwe Post Graduate Diploma in Women's Law 1996-1996 POSTGRADUATE
University of Dar es Salaam LLB 1987-1991 GRADUATE
MekanForbidant College-Sweden Information Studies 1982-1982 CERTIFICATE
University of Dar es Salaam Certificate in Law 1982-1983 CERTIFICATE
NBC Secretarial College Certificate in Secretarial Training 1970-1971 CERTIFICATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Utawala Bora?

2. Menejimenti ya Utumishi wa Umma
-Hawa Ghasia.
Sokoine University M.A in Rural Development 2001-2003 MASTERS DEGREE
Mzumbe University Advanced Diploma in Economic Planning 1992-1995 ADV DIPLOMA

Elimu yake ina uhusiano gani na Menejimenti ya Utumishi wa Umma?

3. Ofisi ya Makamu wa Rais

- Muhammed seif Khatib
University of Dar es Salaam BA. (Education)Hons. 1978 GRADUATE
Komsomol High School Moscow MA. 1983 MASTERS DEGREE
Kivukoni College (CCM) Political Training Course 1985 CERTIFICATE

Sawa lakini...

4. Mazingira
-Dk Batilda Burian
University College London PhD (Planning Studies-Dev. Planning Unit) 1992-1997 PHD
University of Sussex M.A (Development Studies) 1990-1991 MASTERS DEGREE

Elimu yake ina uhusiano gani na Mazingira?

OFISI YA WAZIRI MKUU:

5. Waziri wa Nchi (Sera), Uratibu na Bunge)
-Philip Marmo.
Bangladesh Institute of Law & Intern. Affairs LL.M (Legislative Drafting) 1984=1984 MASTERS DEGREE
Australian Legislative Drafting Institute Diploma in Law 1981-1981 POSTGRADUTE
Kenya School of Law-Nairobi Post Graduate 1978-1978 POSTGRADUTE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1974-1977 GRADUATE

Sawa kabisa

6. Waziri wa Nchi (Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa)
-Steven Wassira.

Hakuna data za elimu yake kwenye website ya bunge.

Naibu Waziri-Celina Kombani.
Institute of Development Management, Mzumbe M.A in Public Administration 1992-1994 MASTERS DEGREE
Institute of Development Management, Mzumbe Diploma 1982-1985 ADV DIPLOMA

Sawa Kabisa.

7. Mipango na Fedha
- Mustafa Mkullo
Almeda University - USA MBA 2004-2005 MASTERS DEGREE
National Board of Accountants & Auditors CPA 1982-1982
S'West London College - London ACCA 1975-1977
Strathmore College - Nairobi ACCA 1971-1973

Sawa kabisa.

Naibu Waziri - Jeremia Sumari

Hakuna data za elimu yake kwenye website ya bunge.

Naibu Waziri - Omar Yusuf Mzee.
Nehru University Diploma 1987-1988 DIPLOMA
University of Canberra Masters 1983-1985 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam Degree 1979-1982 GRADUATE

Hajaweka wazi kasomea nini?

8. Afya na Ustawi wa Jamii
- Profesa Mwakyusa
Medical College of Georgia, USA Gastroenterology 1986-1987 CERTIFICATE
Cleveland Clinic, USA Certificate in Gastroenterology 1984-1984 CERTIFICATE
University of Glasgow - Scotland UK Certificate in Gastroenterology 1977-1978 CERTIFICATE
University of Dar es Salaam MMed 1973-1976 MASTERS DEGREE
University of Makerere M.B., Ch.B. Degree 1964-1969 MASTERS DEGREE

Sawa Kabisa, lakini...

Naibu Waziri-Dk Aisha Kigoda
AMO Training School - KCMC Advanced Diploma in Clinical Medicine 1985-1987 ADV DIPLOMA
Medical Assistant College - Bugando Diploma in Clinical Medicine 1975-1977 DIPLOMA

Sawa lakini ni elimu yake ni ndoga sana kuongoza wizara na hata sijuwi kwa nini ana title ya Udaktari?

9. Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
- John Chiligati
Monduli Military Academy Company Commanders' Course 1988 CERTIFICATE
University of Dar es Salaam MA (Public Administration & Intern. Relation) 1985-1986 MASTERS DEGREE
Monduli Military Academy Platoon Commanders' Course 1978-1978 CERTIFICATE
Monduli Military Academy Officer Cadet Course 1976-1977 CERTIFICATE
University of Dar es Salaam B.A (Public Administration) Hons 1972-1975 GRADUATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Ardhi, Nyumba na Maendelea ya Makazi?

10. Elimu na Mafunzo ya Ufundi
- Profesa Jumanne Maghembe
Makerere - Kampala & Dar es Salaam Universities BSc. (Forestry)Hons GRADUATE
Agricultural University of Norway& Dar es Salaam MSc. (Forestry) MASTERS DEGREE

Elimu yake ina uhusiano gani na Mafunzo ya Ufundi?

Naibu Waziri-Gaudensia Kabaka
Abd Academy University MEd 2000-2002 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BA (Education) 1977-1980 GRADUATE
Klerru Teachers' Training College Diploma in Teaching 1973-1974 DIPLOMA

Sawa kabisa

Naibu Waziri-Mwantumu Mahiza
EDEPA University College - New Delhi, India Diploma in Teaching, Admin & Management 2000 DIPLOMA
Beit Bel Teaching College - Israel Teaching College 1999-1999 DIPLOMA

Sawa lakini elimu yake ni ndogo kuliko wengi kwenye fani hiyo bungeni.

11. Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
- Dk Shukuru Kawambwa
Surrey University - UK PhD (Eng.) 1990-1993 PHD
Reading University - UK MSc. (Eng.) 1983-1984 MASTERS DEGREE

Sawa Kabisa

Naibu Waziri-Dk Maua Daftari
Nanking Medical University Medicines Degree 1972-1977 GRADUATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Mawasiliano Sayansi na Teknologia?

12. Miundombinu
- Andrew Chenge
Harvard University LL.M 1975 - MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1972 - GRADUATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Miundombinu?

Naibu Waziri-Dk Milton Mahanga
Washington International University PhD 1998-2000 PHD
Strathclyde University(UK) MSc. Finance 1997-1998 MASTERS DEGREE

Elimu yake ina uhusiano gani na Miundombinu?

13. Habari, Utamaduni na Michezo
- George Huruma Mkuchika
University of Dar es Salaam B.A(Edu.) Hons 1970-1973 GRADUATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Utamaduni na Michezo?

Naibu Waziri Joel Bendera
University of Sports& Culture Leipzig East Germany MSc. (Physical Education) 1979-1982 MASTERS DEGREE

Sawa kabisa

14. Kazi, Ajira na Maendeleo ya vijana
- Profesa Juma Kapuya
Edu: University College of Wales Aberystwyth PhD (Botany) 1972-1975 PHD
University of Dar es Salaam MSc. (Botany) 1971-1972 MASTERS DEGREE

Elimu yake ina uhusiano gani na Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana?

Naibu Waziri-Hezekiah Chibulunje
Natesan Institute of Cooperative Mgt-Madras India Diploma in Cooperative Banking 1992 DIPLOMA
Nordik Agricultural College(Odense-Denmark) Agricultural Course 1987 CERTIFICATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana?

15. Maji na Umwagiliaji
- Profesa Mark Mwandosya
University of Birmingham - UK PhD (Electrical& Electronic Eng.) 1974-1977 PHD
Aston University - UK BSc. (Engineering)Hons. 1971-1974 GRADUATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Maji na Umwagiliaji?

Naibu Waziri - Eng. Christopher Chiza.
University of Southmpton - UK MSc. (Irr. Eng.) 1980-1981 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BSc. (Applied Hydrology) 1974-1977 GRADUATE

Sawa Kabisa

16. Kilimo, Chakula na Ushirika
- Profesa Peter Musola
TAAS - Tanzania FTAAS 2005-2005 CERTIFICATE
Washighton State University BioTechnology 1990 1990 CERTIFICATE
TWAS - Italy FTWAS 1989 1989 CERTIFICATE
Glassgow University PhD 1976 1979 PHD
Edinburgh University DTVM 1975 1976 MASTERS DEGREE
Nairobi University BVM

Sawa Kabisa

Naibu Waziri - Dk Matayo David Matayo.
Free States University PhD (Agriculture) 2001-2003 PHD
Ambala University - India PostGraduate Diploma (International Relations) 2000-2001 POSTGRADUATE
Pretoria University Masters of Science 1998-2001 MASTERS DEGREE
India PostGraduate Diploma in Public Admin. 1998-1999 POSTGRADUATE

Sawa Kabisa

17. Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
- Margareth Sitta
University of Dar es Salaam BA (Edu.)Hons 1985-1988 GRADUATE
Chang'ombe Teachers' Training College Diploma in Education 1983-1985 DIPLOMA
Mpwapwa Teachers' Training College Certificate in Education 1966-1967 CERTIFICATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Jamii, Jinsia na Watoto?

Naibu Waziri-Dk Lucy Nkya
University of Nairobi M. (Public Health) 1988-1990 MASTERS DEGREE
University of Nairobi M.Medicine (Psychiatry) 1985-1988 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam B (Medicine) 1976-1980 GRADUATE
Cluj-Medical School Medical Course 1973-1976

Elimu yake ina uhusiano gani na Jamii, Jinsia na Watoto?

18. Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
- John Magufuli
University of Dar es Salaam. PhD (Chem) 2006 NOT COMPLETED
Universities of Dar es Salaam, TZ & Salford -U.K. MSc. (Chem) 1991-1994 MASTERS DEGREE

Elimu yake ina uhusiano gani na Mifugo na Uvuvi?

Naibu Waziri - Dk James Wanyancha
University of New Brunswick PhD 1982-1985 PHD
University of Wiles, UK MSc. 1978-1980 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BSc. 1974-1977 GRADUATE

Hajaainisha kasomea nini.

19. Maliasili na Utalii
- Shamsa Mwangunga
Open University of Tanzania BCom 2003-2005 GRADUATE
RVB-DELFT Holland Post Graduate Diploma in Industrial Management 1986-1987 POSTGRADUTE
Dar es Salaam Technical College Diploma in Electrical Engineering 1975-1980 DIPLOMA
Chang'ombe Teachers' Training College Diploma in Education 1973-1974 DIPLOMA

Elimu yake ina uhusiano gani na Maliasili na Utalii?

Naibu Waziri - Ezekiel Maige
Leivester University (UK) MSc Finance 2001-2004 MASTERS DEGREE
Institute of Finance and Management (IFM) Certified Puplic Accountant (CPA) 1997-1998 CERTIFICATE
Instite of Finance and Management (IFM) Advance Diploma in Accountance 1994-1997 ADV DIPLOMA

Elimu yake ina uhusiano gani na Maliasili na Utalii?

20. Mambo ya Ndani
- Lawrence Masha
Georgetown University Law Centre LL.M 1992-1993 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1987-1991 GRADUATE

Sawa kabisa

Naibu Waziri - Hamisi Kagasheki
Fordham University ,New York U.S.A Studies Political Economy 1976-1977 CERTIFICATE
Fordham University ,New York U.S.A BA. (Economics) 1973-1975 GRADUATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Mambo ya Ndani?

21. Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
- Bernard Membe
The Johns Hopkins University, Washington DC MA.(International Relations) 1990-1992 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam B.A. General 1981-1984 GRADUATE

Sawa Kabisa

Naibu Waziri - Seif Ali Iddi
Australian National University Diploma (International Relations & Diplomacy) 1973-1974 DIPLOMA
Nkurumah College Diploma in Education 1963-1964 DIPLOMA

Sawa lakini elimu yake ni ndogo ukilinganisha na wengine.

22. Nishati na Madini
- William Ngeleja
University of Dar Es Salaam (UDSM) LLM 1996-1999 MASTERS DEGREE
University of Dar Es Salaam (UDSM) LLB 1991-1994 GRADUATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Nishati na Madini?

Naibu Waziri - Adamu Malima.
University of London (SOAS) MSc (Econ) 1994-1995 MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS) Post Graduate Diploma (Econ) 1993-1994 POSTGRADUATE
University of Hauana (Cuba) MSc (Econ) 1984-1989 MASTERS DEGREE

Elimu yake ina uhusiano gani na Nishati na Madini?

23. Katiba na Sheria
- Mathias Chikawe
Holland PostGraduate Diploma - International Law & Dev. 1981-1982 POSTGRADUATE
UK PostGraduate Diploma in Management 1977-1978 POSTGRADUATE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1972-1975 GRADUATE

Sawa lakini...

24. Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
- Dk. Hussein Mwinyi
Hamersmith Hospital U.K Masters in Internal Medicine 1993-1997 MASTERS DEGREE
Marmara University Turkey Doctor of Medicine 1985-1992 CERTIFICATE

Elimu yake ina uhusiano gani na Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa?

Naibu Waziri - Dk Emmanuel Nchimbi
CommonWealth Open University PhD (Management) 2001-2003 PHD
Mzumbe University MBA (Finance & Banking) 2001-2003 MASTERS DEGREE
CommonWealth Open University MSc. (Management) 1999-2001 MASTERS DEGREE
Institute of Development Management - Mzumbe Advanced Diploma in Administration 1994-1997 ADV DIPLOMA

Elimu yake ina uhusiano gani na Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa?

25. Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dk. Deodorius Kamala
Commonwealth Open University PhD in Economics 2002-2004 PHD
Humberside, Brandford University MSc. (Agricultural Development and Rural Finance) 1997-1998 MASTERS DEGREE
Lincoln University MSc. (Organisational Systems) 1996-1997 MASTERS DEGREE
Institute of Development Management- Mzumbe Advanced Diploma in Economic Planning (ADEP) 1992-1995 ADV DIPLOMA

Elimu yake ina uhusiano gani na Ushirikiano wa Afrika Mashariki?

Naibu Waziri Mohamed Aboud
Cambridge International College - UK Diploma in Business Management & Admin. 2001-2003 DIPLOMA
Cambridge International College - UK Diploma in Business economic & Commerce 2001-2003 DIPLOMA

Elimu yake ina uhusiano gani na Ushirikiano wa Afrika Mashariki?

26. Viwanda Biashara na Masoko
- Dk Mary Nagu
Washington International University PhD 2002-2004 PHD
Netherlands, Singapore, Geneva (Commonwealth) Diploma in General Management RVB 1988-1988 DIPLOMA
Tokyo - Japan Diploma in Management 1987 1987 DIPLOMA
University of Dar es Salaam MA. (Economics) 1982-1984 MASTERS DEGREE
Milan - Italy Diploma in Business Administration 1979-1979 DIPLOMA
University of Dar es Salaam BA. (Economics) 1973-1976 GRADUATE

Sina Uhakika nisaidieni!

Naibu Waziri - Dk Cyril Chami
Albelta - Canada Doctor of Philosophy 1995-2001 PHD
University of Dar es Salaam MBA 1992-1994 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BA 1988-1992 GRADUATE

Sina Uhakika nisaidieni!
 
Kwa kawida waziri ni mwanasiasa tu mtaalam ni katibu mkuu. JK mwenyewe alisema hakuna chuo cha uwazir!
 
Back
Top Bottom